Ungeweka namba za simu ingekuwa powa zaidi,Kuna watu wengine wanaiweza hiyo kazi ila wapo nje ya JF,ingekuwa rahisi kukuunganisha nao.ENEO LA KAZI-SHINYANGA
CHAKULA MALAZI NA MATIBABU NI JUU YANGU
AWE ANAJUA KUANDAA VITAFUNWA
KWA MAEKEZO ZAIDI UNAKARIBISHWA INBOX