Recent content by Mawesee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Asnte sana mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Mke wangu ana kilo 82
  3. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Kazi yangu ni mwalim na pia mwanachuo kwa sasa nina mke ndiyo na watoto pia nina uzto 65kg.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Nina 37yrs.. Sio mnene kg 65..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Umri wangu miaka 37 si mnene sio mzito nina kg 65
  6. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Nina tatizo la mgongo kuuma sana hasa wakat wa usiku pia nikikaa muda mrefu nimechek xray hamna tatzo.. Tatzo hili nila muda mrefu toka 2008 nikilala uck had nijikunje ndo napata nafuu siwez kaa kwa kunyooka au kulala nimenyooka unauma sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania VICHWA VYA DARASANI

    Mimi nilikuwa kuchwa xana 4m one had 4m four niliongoza darasa lakn baada ya kwenda advance five na six had chuo kikuu ilikuwa balaa nikajiona kuwa nilikuwa naongoza wajinga wenzangu mana navopelekeshwa huko chuo ni balaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Tusipojirekebisha tutatafuta mchawi bila mafanikio

    Yan huyu jeryy fara kabisa hana mwelekeo wa maisha sa hivi... Anasaka tonge kwa nguvu zote duh but siku zake na fara mwngne makaptura zimebak chache washenz kabisa hao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anataka mtoto mwingine, hali yangu ya uchumi sio nzuri

    Mimba hana maana ni siku nying sana anaomba hilo pia namwamin xana nje ya ndoa hajawah toka kabisaa ni mcha mungu sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anataka mtoto mwingine, hali yangu ya uchumi sio nzuri

    Wanajamii niko na mke wangu muda mrefu tuna watoto wanne na analijua hilo wote wanasoma internatnal school. Tatizo lilianza mwaka jana akihitaji tuongeze mtoto mwingine, mimi nimekuwa nikikataa kwa sababu zifuatazo; mimi ndo mtoa matumizi, nasomesha. Yeye mchango wake ni kulisha familia tu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Yan wewe ndo zuzu hujui hata elimisha mtu anaeomba ushaur nina mashaka na chet chako kama sio cha kununua au ulisoma eagle collg na sio univstry ndo mana huna sup kuwa mstarabu mtu anapoomba ushaur kwa matatizo na sio kumwambia zuzu ndo walewale waloita watoto wa wenzio vilaza afu wa kwao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufutwa kwa motor vehicle

    Navoelewa ni hivi kama hujalipia hata ya mwaka huu imefutwa na za nyuma ifikapo tareh 1 july but ukitembea kwa sasa ukakamatwa unapigwa fain ila ifikapo tar 1 july ingiza mzigo barabaran hata kama ulikuwa unadaiwa 2mill xo stika zitabak mbili tu kwe kioo ya usalama na insurance
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Sipat pcha kibonde... Na yule nyundo wa 360... Na lemburulazzz... Wako wap xa hv na wanazodolewaje na watoto wao mana hata wake zao wanajua matatizo ya bashite.... Vpnd vya kesho na wao ni zamu yao kuvaa mask kama sudy
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sura halisi ya Soudy Brown wa Clouds FM

    Nenda kwe page ya mange insta keshampata sura yake
Back
Top Bottom