Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
kwa hiyo wanaodisco au kupata maana yake hawanaakili???? kikubwa ungemuuliza tatizo ni nini ili umsaidie...ila kumwambia zwazwa inatafsiri wewe ni msomi au sio.....wasomi wanatoa ushauri na kusolve matatizo na si kuwakashifu watu...

na swala la kutopata sup inategemeana na vyuo labda ungetutajia chuo ulichokisoma

ni hayo tu my best friend
cc. maserati
 
Ushauri tu...
Ukiona umetingwa sana komaa hapo chuo ufanye acrobatic ya matokeo then omba open university. Ukifanikiwa kufanya haya basi utakua umejitengenezea safari ya kuendelea na chuo for the next academic year bila kurudia mwaka, itaonekana kama umehama chuo...
Kuhusu course, we pata chuo kwanza course itafahamika mbele kwa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaur conscious

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
kwa hiyo wanaodisco au kupata maana yake hawanaakili???? kikubwa ungemuuliza tatizo ni nini ili umsaidie...ila kumwambia zwazwa inatafsiri wewe ni msomi au sio.....wasomi wanatoa ushauri na kusolve matatizo na si kuwakashifu watu...

na swala la kutopata sup inategemeana na vyuo labda ungetutajia chuo ulichokisoma

ni hayo tu my best friend
cc. maserati
Msomi gani alietoa ushauri labda niambie wewe? Hata darasa la saba anaweza kukushauri Hata asiesoma huwa anatoa ushauri. Ushauri kwa zwazwa!!!! Ushauri my foot
 
Mpe pole sana. Hiyo ni sehemu tu ya maisha.

Utaratibu ulikuwa ukidisco, utasubiri miaka miwili ndipo uruhusiwe kuomba kudahiliwa tena katika taasisi ya elimu ya Juu.
Hii ni pale usajili ulipokuwa chini ya TCU.

Kwa sasa sijajua, kwa sababu usajili hufanyikia moja kwa moja chuoni. Cha Msingi, aende akaombe kwa baadhi ya vyuo na kisha muone nini kitafata.
Safi sana kwa kumshauri vizur mana humu kuna watu wanajifanya wajuaji na wako perfect hawajawah kukosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msomi gani alietoa ushauri labda niambie wewe? Hata darasa la saba anaweza kukushauri Hata asiesoma huwa anatoa ushauri. Ushauri kwa zwazwa!!!! Ushauri my foot
mkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..
wewe ndio ulitakiwa uwe mfano sasa tuone ushauri wako..uoneshe huko udsm mnafundishwa hekima, busara na maarifa...msitupe doubt sisi wa chief kunambi community development colleges.. juu ya elimu iliyopo udsm sasa hapa tunaanza kuwa na mashaka na huko udsm..kwa ushauri uliotoa mwanangu bora nijipigepige akasome tu nje ya nchi kwa kweli
 
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
dada wewe msomi,hebu kuwa mfano ,tumia elimu yako kuokoa jamii yako au ulitaka umsaidie tu mawazo mdogo wako anapofail ??
usikashifu sababu hujui amedisco kwa sababu zipi

asante

Msema kweli ni muda
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?

Nawashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
But itabidi ajilipie pasee. Mimi nilidisco nikabadili course nikatusua. Ni kutokata tamaa na kukamua kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidsco udsm na nikaapply udbs hapo hapo ni nikagraduate hapo hapo. So asikate tamaa kama wa kike mwambie aache mashoga na starehe za mijini. Kama kidume mpe hata vitasa akae sawa

Shout out to you mkuu ...... Umetoa ushauri mzuri sana ...

Kwa matokeo yahuyo Dada anaonekana anauwezo mzuri WA kiakili but kuna facts zimechangia sana mpaka kufika hapo ......na kwakua ni Mdada ,, kikubwa aachane na starehe zisizokua namaana ( clubs na mapenzi) ivi vitu huwa haviangalii wewe nimtu mzm au lah ,muhimu kuviweka pemben .

" mwambie aache mashoga na starehe za mjini " .............huo ni ualimu ,, nkama angesoma Medicine Doctor ingekuaje ? ..aache starehe.
 
Yan wewe ndo zuzu hujui hata elimisha mtu anaeomba ushaur nina mashaka na chet chako kama sio cha kununua au ulisoma eagle collg na sio univstry ndo mana huna sup kuwa mstarabu mtu anapoomba ushaur kwa matatizo na sio kumwambia zuzu ndo walewale waloita watoto wa wenzio vilaza afu wa kwao wakadisco mungu analipa hapa hapa na hiyo master yako ya uchwara utayoenda chukua utadisco na sio sup tena ndo ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom