Kuhusu kufutwa kwa motor vehicle

Nov 29, 2016
21
7
Nilipenda kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili swala.

Magari yalokua yakidaiwa Motor vehicle yataendelea kudaiwa ama ndo itakua yamesamehewa..

Hilo ndo swali langu wadau
 
Nadhani tangazo hilo linahusu ada zinazoanzia tar 1 july 2017 lakini madeni ya kabla ya tarehe hiyo lazima yalipwe
 
Nadhani tangazo hilo linahusu ada zinazoanzia tar 1 july 2017 lakini madeni ya kabla ya tarehe hiyo lazima yalipwe
Usidhani bali pata ukweli.
Kwa mujibu wa Waziri Mpango ni kuwa madeni hayo yanafutwa rasmi kuanzia tarehe 1 Julai
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Navoelewa ni hivi kama hujalipia hata ya mwaka huu imefutwa na za nyuma ifikapo tareh 1 july but ukitembea kwa sasa ukakamatwa unapigwa fain ila ifikapo tar 1 july ingiza mzigo barabaran hata kama ulikuwa unadaiwa 2mill xo stika zitabak mbili tu kwe kioo ya usalama na insurance
 
kiongozi kuwa vyombo vya moto haijalishi kinatembea, Sawa kabisa, genereta, kandili, jiko la mchina nk yote kodi kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom