Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Habar za jion Dr
Mimi napata utata kidogo kuhusu ili
Ivi mtu akiugua ugonjwa wowote kinga zake zika shuka anakua na HIV+? au
Habari bwana Rolence:
Hapana ndugu, kushuka kwa kinga za mwili si kwamba unakua na HIV.
Kinga za mwili zinaweza kushika kwa sababu mbali mbali.
Utumiaji wa madawa bila mpangilio mzuri inaweza kusababisha kupungua, Pia kuto kutibu magonjwa mwilini, ukawa unakaa hivyo huku ukiwa unaumwa, nikosa kubwa, kwani hapo kinga zako zitakua zikijaribu kupambana na wavamizi hao mda wote.
Na hapo ndo penye tatizo kwani kuna walinzi wengi hua wanateketea.
Lakini jingine Kumeza antibiotic huku ukiwa na Homa Kali ni tatizo.
Kwani dawa hizo huja kuleta matatizo kwa wale walinzi waliokua wakijaribu kupambana na adui hao.
Kwa kawaida unatakiwa ushushe Homa kwanza, ndio utumie antibiotic na sababu nyingine nyingi. Kwa hiyo kushika kinga si kua na HIV.
 
Nina malengelenge mwilini nini tatizo na dawa yake ni ipi
Habari bwana Ujije
Malenge lenge hayo yanamda gani na yako maeneo gani. Na je yanauma ama yanawasha na kama yanauma maumivu yake yakoje?
 
Umri wangu miaka 37 si mnene sio mzito nina kg 65
Habari bwana mawese
Pia naomba unijulishe unafanya kazi gani na je una mke na kama una mke Je anauzito gani! Ili tuendelee tafadhali
 
Kazi yangu ni mwalim na pia mwanachuo kwa sasa nina mke ndiyo na watoto pia nina uzto 65kg.
 
Uzito wako ulisha nieleza ndugu nilitaka kujua na uzito wa mkeo, kwani kuna mambo muhimu ninajaribu kuhusisha na tatizo lako ili nikikujibu swali lako la msingi Uweze kua umepata ufumbuzi mzuri.
 
Habari Dr. Naweza sema nina tatizo au sijui ni nini maana ninasumbuliwa na maumivu ya korodani (Pumbu). Huwa inanitokeaga nikiwa na malaria pale homa inapopanda, na wiki mbili zilizopita niliumwa kama siku nzima hadi kutembea ni shida. Je tatizo au chanzo ni nini maana nishawahi sikia redioni wakisema maumivu ya mara kwa mara ya korodani yanaweza sababisha upungufu kama sio ukosefu wa nguvu za kiume.
 
Mi huwa naumwa mafua mwaka mzima cjawahi kupona huwa yanapungua tu na yakikaza zaid nalazwa
Pole mkuu upo sehemu gan Maana mm Iyo Hali inanikutaga nkiwa kweny maeneo Yenye baridi Kali na Hii kitu inasababu zake
 
Habari msweet😛ole kwa kusubiri Nilikua nimetingwa kidogo ofisini so ikanilazimu kutokuendelea kujibu maswali.
Ingawa ulikua nizamu yako naomba ni kujibu kesho. Kwani swali lako ni swali ambalo la elimu kwa Jamii kwa hivyo nisingependa nijibu kwa kifupi. Ninaonelea nifafanue ili Jamii nayo ipate elimu.
Habari za leo msweet:
Kwanza kabisa kabla sijaenda kukufahamisha faida na hasara. Ningependa nianze kwa kuyatambua maji kwaujumla wake, umuhumu nakazi yanazofanya mwilini.

MAJI
Msweet maji ni uhai, "bila maji hakuna kinachoishi" Damu nzito kuliko maji!

Tukiangalia maneno hayo tunaweza kujiuliza maswali mengi sana.
'Ina maana uhai tulionao ni maji!
'Kwanini Damu iwe nzito'!
'Kwanini waseme maji ni mepesi'

Maswali haya unapoanza kuyafikiria maji ni lazima utajiuliza.

Baada ya Oksijen ni maji. Maji ni kitu muhimu katika uhai.

Mwili wa binadamu umebeba asilimia 70 hadi 80 ya maji.
Na hii ni katik chembe hai za mwili kunako hitajika maji mengi.
Plasma ya damu hutengenezwa na asilimia 90 hadi 92 ya maji na asilimia 8 hadi 10 ni ujazo wa oksijen.na virutubishi mbalimbali.
Hivyo maji ni dutu muhimu sana kwa sababu hutengeneza uhai na uzima wa mwili.

Damu ni uhai pia kwani pasipo damu hakuna uhai wa mwili.
Damu, maji, oksijen, na virutubishio ndivyo huupa mwili uzima uliokusudiwa.

Chembe hai za matumbo ( interstine)hudumu kwa siku 4 tu kisha hufa na kutolewa nje ya mwili kwa njia ya haja kubwa.( stool) wakati zile za tumbo (stomuch) hudumu kwa siku 5.
Chembe hai za ngozi hudumu kwa siku 30 kisha hufa na hutolewa nje wakati unaposafisha ngozi
Wakati zile za Ini hudumu kwa siku 42 kisha huliwa na chembe hai nyeupe( macrophages) ambazo kazi yake ni kusafisha chembe mfu kwa njia ya kuzila

Chembe hai nyekundu (RBC)hudumu mwilini kwa siku 120 kisha kuliwa na macropheges.
Wakati chembe hai za mifupa hudumu kwa muda wa siku 90 na kuliwa na macropheges.
Chembe nyeupe (WBC) hudumu mwilini kwa muda wa mwaka mmoja kisha na zenyewe kuliwa na macropheges.
Neva au neuron hudumu kwa zaidi ya miaka 90, zenyewe hufa wakati mtu anapokufa.

Maji ni muhimu sana mwilini kama ilivyo kua muhimu kua na uhai.
Mtu mzima anapaswa anywe Lita 2 kwa siku. Lakini mgonjwa anapaswa anywe Lita 3 hadi 5 kwa siku kwa sababu chembe hai za mwili na hasa chembe nyeupe zina hitaji nguvu ya kutosha ili kupigana na maradhi pindi Mtu anapokua mgonjwa

Jinsi mwili unavyo hitaji Damu ndivyo unavyohitaji maji Katika Saa moja kiasi cha Lita 45 huwa zimeulonisha ubongo na kuuzunhuka.kwa kuupa uhai.

Mwili wenye damu safi Maji safi oksijen ya kutosha. Hufanya Mtu awe na afya bora kwani maradhi yanapomvamia hupigwa vikali na kuangamizwa.

Panapo tokea upungufu wa maji kitu kimoja lazima kipotee.
Na baadhi ya kazi za seli hufa.

Maji ndio chanzo kikuu cha nguvu. Maji hutumika kama moja ya malighafi ya usanifu wa ujenzi wa seli na huziweka seli katika hali nzuri
Maji hukinga uharibifu wa vinasaba (DNA)

Sodiam, Patasiam, na kloride ni electrolytes( madini maalum) ambayo huyeyuka katika maji na hubeba chaji za kiumeme. na kuzipeleka sehemu zote kuliko na maji.

Madini haya ya kiumeme yanauwezo wa kuingia na kutoka ndani ya seli kwa Uhuru wote huku yakipeleka lishe ndani ya seli na kutoa nje taka na maji yaliozidi ili kuziacha seli katika hali yake ya usawa.

Electrolyte hizi zinapatikana katika maji maji yote mwilini na hubeba mapigo(impulses) kwenye Neva zetu.
Kitendo hiki huu saidia moyo na kiwambo cha moyo(diagragm)kusinyaa na kulegea.

Electrolytes hubeba glucose( damu yenye sukari)na kuipeleka ndani ya seli baada ya insulin kufungua milango kwa ajili ya sukari kuchukuliwa.

Electrolytes pia huwasha pump za kuzalisha nguvu ziitwazo cotion pumps ambazo huzalisha umeme ambao huhifadhiwa kwenye betri zijulikanazo kitaalam kama mg ATP (Adinosine Triphosphate)na mg GTP( Guanosine Triphosphate) za mwili.

Katika mwili kuna bahari mbili, moja imejishikiza ndani ya seli na ya pili imejishikiza nje ya seli.
Afya nzuri hutegea na usawa mzuri wa maji katika bahari hizi mbili.

Kutokana na kazi nilizozita huko juu zinazofanyika ndani ya mwili, kuna wakati bahari hizi hua zinacheka.
Na zikichemka hapo ndio mahitaji ya maji hutakiwa.

Kama itachemka bahari iliojishikiza ndani ya seli, wewe mhusika hutojua kama bahari hii imechemka.
Hapo kitachoweza kutambua hilo ni ubongo, na ubongo ukitambua hilo, hutoa taarifa kwa tezi maalum, ambayo tezi hiyo itatoa homon maalum ambayo itakuchochea kupata kiu( hitaji la kunywa maji)

Bahari iliojishikiza nje ya seli Mara nyingi huchemka kutokana na harakati zako wewe mhusika, na ikichemka bahari hii, kuleta matokeo yafuatayo. Kwanza hufanya kuiathiri na bahari ilioko ndani nayo ichemke.
Hapo matokeo hua ni haya hapa.
1 Kujisikia kuchoka na kutoendelea na kazi.
2 Ngozi ya mwili kuvuja Jasho.
3 mwili kuishiwa nguvu
4 kiu.

Zinapojitokeza hali hizo hapo sasa ni mwili una hitaji maji yabaridi yapitie kwenye Tabaka la juu la ngozi( kuoga)

Wakati kama huu ukaupa mwili maji ya kuoga ya baridi maji yatakua ni dawa na faida kubwa kwa mwili. Faida zenyewe ni
1 Ukaoga mda huu kuchoka kutatoweka na kukurudishia utayari wa kuendelea na majukumu ulionayo.
Itakua hivyo kwa sababu maji yabaridi yatakwenda kupoza bahari iliojishikiza nje ya seli, na bahari hiyo ikipoa, itasababisha bahari iliojishikiza ndani ya seli nayo kupoa.hivyo kufanya mwili uwe vizuri.

2 Wakati kama huu ukaoga ngozi na nywele vitalainika vizuri kwakua Yale mafuta laini yanayolinda ngozi na nywele havitoondolewa.

3 kuoga wakati kama huu huongeza kinga ya mwili kwa kua hufanya kuongeza kiwango cha umetaboli hivyo pale mwili unapojaribu kujipasha moto baada ya kuoga hapo ndio zinapozalishwa chembe nyeupe za kupambana na maradhi.

4 Kuoga wakati kama huu, huhamasisha kupungua uzito.
Kwani binadamu baada ya kula vyakula mbali mbali kiasi Fulani cha mafuta huhifadhiwa mwilini.
Baada ya kuoga maji baridi pale mwili unapojaribu kujipasha moto kiasi Fulani cha mafuta huyeyushwa na kutumiwa kuupasha mwili joto.

Pia huchangia afya ya misuli na hufanya mwanamichezo kua imara.
Pia Kuondoa msongo wa mawazo.
Pia hulinda afya ya uzazi ya mwanaume na mwanamke.
Kwa wanaume huwafanya wabaki na maumbile yao waliokua nayo bila kuharibika chochote.
Wakati kwa upande wa Wanawake huwafanya wawe na maumbile yalio katika hali ya kufuata umbile la uume,
Yani pale mwanamke anapokua katika hali ya kusisimka, umbile lake la kike hubana kufuata umbile la mwanaume kwa muda huo. Hapo hata kama umbile la mwanaume litakua dogo, litaeneatu. Na naimani zile misemo mipya za vibamia havito kuwepo. Pia hufanya mtu apate usingizi mzuri.
Pia huboresha mzunguko wa damu na kufanya damu izunguruke vizuri mwilini.

Kwaujumla maji yote ni mazuri na yanafanya kazi zote hizo yawe ya baridi au ya moto.

Ilimraditu yatumike kwa maitaji ya mwili sio kwa mahitaji ya mtu binafsi.

Maji ya moto ni mchemsho.
Maji ya baridi ni pozo.
Ukaoga maji ya moto ni sawa na kufanya mazozi Saa moja.
Kufanya mazoezi ni sawa na kuoga maji ya moto.
Kwa wale wenye maradhi wanaoshauriwa wafanye mazoezi! Na wakawa hawana uwezo wa kufanya hayo mazoezi wanashauriwa watumie kuoga maji moto kama mbadala wa mazoezi. Lakini inabidi mwili uandaliwe namna ya kuyapokea maji moto

Ukaoga maji moto yakakutana na bahari ya ndani ya seli imechemka.
Maji uliooga yatachemsha bahari ya nje na yanje itajaribu kuipasha moto bahari ya ndani wakati nayo imechemka.
Hapo matokeo yatakua ni kuchoka,kuishiwa nguvu,kutoka Jasho,kiu na mengineyo mengi hujitokeza,
Kwa wanaume shahawa zitakua nyepesi hivyo kusababisha kufika kileleni mapema.
Pia vile vile kwa wanaume hao hao Mbegu za kiume zitashindwa kuogelea kwenye shahawa kwakua shahawa ni nyepesi na hatimae kushindwa kulifikia yai la mwanamke baada ya ijaclation.
Hivyo kukufanya mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke.

Kwa Wanawake Yatasababisha maumbile ya kike kulegea na kushindwa kulitambua umbo la mwanaume hapo hata uume uwe mkubwa bado uke hauto ubana uume sawa sawa.

Pia ukaoga wakati bahari ya ndani imechemka.Hili ni kwa wote ngozi na nywele zitakua vikavu kwakua yataondoa Yale mafuta laini ambayo ni kinga kwa ngozi.

Kwa hiyo maji yote ni mazuri kwa afya na mabaya kwa afya.

Ili yalete faida kwa mwili fuata taratibu na kanuni za maji.
Ukahisi baridi wewe mwenyewe Sio kipindi cha baridi hili kwa wewe mwenyewe.
Ujue unatakiwa uupe mwili maji moto.
Ukasikia kiu yamaji bila kuhisi joto, hapo unatakiwa unywe maji sio kuoga.

Ukahisi joto na kutoka Jasho kiu na kuchoka unatakiwa uoge maji baridi.

Ukawa unatetemeka baridi huku mwili umechemka hiyo ni hitilafu katika bahari hizi mbili ya joto la maji.
Hapo kuna bahari moja imechemka moja ya baridi
Mara nyingi hua ni bahari iliojishikiza nje ya seli ndio hua imechemk, ikijaribu kuilazimisha na ya ndani ichemke ndio matokeo hua hayo. Hapo humaanisha kuna bacteria wamevuruga usawa wa joto la bahari.

Msweet nimatumaini yangu umeelewa vyema asante na karibu tena.
 
Habari Dr,
Tunashukuru kwa Ukarimu wako kuendelea kutuelimisha habari ya afya,
Naomba msaada, Mume wangu ana shida ya tumbo kwa muda mrefu, akila chakula anasema ni kama kinakwama kwenye "chembe ya moyo"- hapa chini ya kifua kidogo, na huchukua muda kuyeyushwa,
Pili kuna wakati anakuwa hana apetite ya kula anakula kwa kujilazimisha tu,
Tatu kwa kipindi hiki kuna baadhi ya vyakula anashindwa kula anasema vinampa kichefu chefu kama dagaa, samaki n.k.
Tulienda hosptl akapima kipimo kile cha kuingizwa sijui ni mrija mdomoni mpaka tumboni ikaonekana vidonda vya tumbo ni kama vinamuanza, pia aliambiwa ana tatizo la acid nyingi tumboni, hapati kiungulia.
kuna baadhi ya dawa ambazo huwa anapewa zinatuliza kwa muda then anaendelea kuumwa,
NAOMBA UNISAIDIE:
1. inawezekana kuna shida nyingine inayopelekea matatizo haya na afanye nini? kila siku hana raha yaani
2. Ni vyakula gani anaweza kutumia vinavyoweza kupunguza kiasi cha acid tumboni?
Ahsante.
 
Uzito wako ulisha nieleza ndugu nilitaka kujua na uzito wa mkeo, kwani kuna mambo muhimu ninajaribu kuhusisha na tatizo lako ili nikikujibu swali lako la msingi Uweze kua umepata ufumbuzi mzuri.
Mke wangu ana kilo 82
 
Habari za leo msweet:
Kwanza kabisa kabla sijaenda kukufahamisha faida na hasara. Ningependa nianze kwa kuyatambua maji kwaujumla wake, umuhumu nakazi yanazofanya mwilini.

MAJI
Msweet maji ni uhai, "bila maji hakuna kinachoishi" Damu nzito kuliko maji!

Tukiangalia maneno hayo tunaweza kujiuliza maswali mengi sana.
'Ina maana uhai tulionao ni maji!
'Kwanini Damu iwe nzito'!
'Kwanini waseme maji ni mepesi'

Maswali haya unapoanza kuyafikiria maji ni lazima utajiuliza.

Baada ya Oksijen ni maji. Maji ni kitu muhimu katika uhai.

Mwili wa binadamu umebeba asilimia 70 hadi 80 ya maji.
Na hii ni katik chembe hai za mwili kunako hitajika maji mengi.
Plasma ya damu hutengenezwa na asilimia 90 hadi 92 ya maji na asilimia 8 hadi 10 ni ujazo wa oksijen.na virutubishi mbalimbali.
Hivyo maji ni dutu muhimu sana kwa sababu hutengeneza uhai na uzima wa mwili.

Damu ni uhai pia kwani pasipo damu hakuna uhai wa mwili.
Damu, maji, oksijen, na virutubishio ndivyo huupa mwili uzima uliokusudiwa.

Chembe hai za matumbo ( interstine)hudumu kwa siku 4 tu kisha hufa na kutolewa nje ya mwili kwa njia ya haja kubwa.( stool) wakati zile za tumbo (stomuch) hudumu kwa siku 5.
Chembe hai za ngozi hudumu kwa siku 30 kisha hufa na hutolewa nje wakati unaposafisha ngozi
Wakati zile za Ini hudumu kwa siku 42 kisha huliwa na chembe hai nyeupe( macrophages) ambazo kazi yake ni kusafisha chembe mfu kwa njia ya kuzila

Chembe hai nyekundu (RBC)hudumu mwilini kwa siku 120 kisha kuliwa na macropheges.
Wakati chembe hai za mifupa hudumu kwa muda wa siku 90 na kuliwa na macropheges.
Chembe nyeupe (WBC) hudumu mwilini kwa muda wa mwaka mmoja kisha na zenyewe kuliwa na macropheges.
Neva au neuron hudumu kwa zaidi ya miaka 90, zenyewe hufa wakati mtu anapokufa.

Maji ni muhimu sana mwilini kama ilivyo kua muhimu kua na uhai.
Mtu mzima anapaswa anywe Lita 2 kwa siku. Lakini mgonjwa anapaswa anywe Lita 3 hadi 5 kwa siku kwa sababu chembe hai za mwili na hasa chembe nyeupe zina hitaji nguvu ya kutosha ili kupigana na maradhi pindi Mtu anapokua mgonjwa

Jinsi mwili unavyo hitaji Damu ndivyo unavyohitaji maji Katika Saa moja kiasi cha Lita 45 huwa zimeulonisha ubongo na kuuzunhuka.kwa kuupa uhai.

Mwili wenye damu safi Maji safi oksijen ya kutosha. Hufanya Mtu awe na afya bora kwani maradhi yanapomvamia hupigwa vikali na kuangamizwa.

Panapo tokea upungufu wa maji kitu kimoja lazima kipotee.
Na baadhi ya kazi za seli hufa.

Maji ndio chanzo kikuu cha nguvu. Maji hutumika kama moja ya malighafi ya usanifu wa ujenzi wa seli na huziweka seli katika hali nzuri
Maji hukinga uharibifu wa vinasaba (DNA)

Sodiam, Patasiam, na kloride ni electrolytes( madini maalum) ambayo huyeyuka katika maji na hubeba chaji za kiumeme. na kuzipeleka sehemu zote kuliko na maji.

Madini haya ya kiumeme yanauwezo wa kuingia na kutoka ndani ya seli kwa Uhuru wote huku yakipeleka lishe ndani ya seli na kutoa nje taka na maji yaliozidi ili kuziacha seli katika hali yake ya usawa.

Electrolyte hizi zinapatikana katika maji maji yote mwilini na hubeba mapigo(impulses) kwenye Neva zetu.
Kitendo hiki huu saidia moyo na kiwambo cha moyo(diagragm)kusinyaa na kulegea.

Electrolytes hubeba glucose( damu yenye sukari)na kuipeleka ndani ya seli baada ya insulin kufungua milango kwa ajili ya sukari kuchukuliwa.

Electrolytes pia huwasha pump za kuzalisha nguvu ziitwazo cotion pumps ambazo huzalisha umeme ambao huhifadhiwa kwenye betri zijulikanazo kitaalam kama mg ATP (Adinosine Triphosphate)na mg GTP( Guanosine Triphosphate) za mwili.

Katika mwili kuna bahari mbili, moja imejishikiza ndani ya seli na ya pili imejishikiza nje ya seli.
Afya nzuri hutegea na usawa mzuri wa maji katika bahari hizi mbili.

Kutokana na kazi nilizozita huko juu zinazofanyika ndani ya mwili, kuna wakati bahari hizi hua zinacheka.
Na zikichemka hapo ndio mahitaji ya maji hutakiwa.

Kama itachemka bahari iliojishikiza ndani ya seli, wewe mhusika hutojua kama bahari hii imechemka.
Hapo kitachoweza kutambua hilo ni ubongo, na ubongo ukitambua hilo, hutoa taarifa kwa tezi maalum, ambayo tezi hiyo itatoa homon maalum ambayo itakuchochea kupata kiu( hitaji la kunywa maji)

Bahari iliojishikiza nje ya seli Mara nyingi huchemka kutokana na harakati zako wewe mhusika, na ikichemka bahari hii, kuleta matokeo yafuatayo. Kwanza hufanya kuiathiri na bahari ilioko ndani nayo ichemke.
Hapo matokeo hua ni haya hapa.
1 Kujisikia kuchoka na kutoendelea na kazi.
2 Ngozi ya mwili kuvuja Jasho.
3 mwili kuishiwa nguvu
4 kiu.

Zinapojitokeza hali hizo hapo sasa ni mwili una hitaji maji yabaridi yapitie kwenye Tabaka la juu la ngozi( kuoga)

Wakati kama huu ukaupa mwili maji ya kuoga ya baridi maji yatakua ni dawa na faida kubwa kwa mwili. Faida zenyewe ni
1 Ukaoga mda huu kuchoka kutatoweka na kukurudishia utayari wa kuendelea na majukumu ulionayo.
Itakua hivyo kwa sababu maji yabaridi yatakwenda kupoza bahari iliojishikiza nje ya seli, na bahari hiyo ikipoa, itasababisha bahari iliojishikiza ndani ya seli nayo kupoa.hivyo kufanya mwili uwe vizuri.

2 Wakati kama huu ukaoga ngozi na nywele vitalainika vizuri kwakua Yale mafuta laini yanayolinda ngozi na nywele havitoondolewa.

3 kuoga wakati kama huu huongeza kinga ya mwili kwa kua hufanya kuongeza kiwango cha umetaboli hivyo pale mwili unapojaribu kujipasha moto baada ya kuoga hapo ndio zinapozalishwa chembe nyeupe za kupambana na maradhi.

4 Kuoga wakati kama huu, huhamasisha kupungua uzito.
Kwani binadamu baada ya kula vyakula mbali mbali kiasi Fulani cha mafuta huhifadhiwa mwilini.
Baada ya kuoga maji baridi pale mwili unapojaribu kujipasha moto kiasi Fulani cha mafuta huyeyushwa na kutumiwa kuupasha mwili joto.

Pia huchangia afya ya misuli na hufanya mwanamichezo kua imara.
Pia Kuondoa msongo wa mawazo.
Pia hulinda afya ya uzazi ya mwanaume na mwanamke.
Kwa wanaume huwafanya wabaki na maumbile yao waliokua nayo bila kuharibika chochote.
Wakati kwa upande wa Wanawake huwafanya wawe na maumbile yalio katika hali ya kufuata umbile la uume,
Yani pale mwanamke anapokua katika hali ya kusisimka, umbile lake la kike hubana kufuata umbile la mwanaume kwa muda huo. Hapo hata kama umbile la mwanaume litakua dogo, litaeneatu. Na naimani zile misemo mipya za vibamia havito kuwepo. Pia hufanya mtu apate usingizi mzuri.
Pia huboresha mzunguko wa damu na kufanya damu izunguruke vizuri mwilini.

Kwaujumla maji yote ni mazuri na yanafanya kazi zote hizo yawe ya baridi au ya moto.

Ilimraditu yatumike kwa maitaji ya mwili sio kwa mahitaji ya mtu binafsi.

Maji ya moto ni mchemsho.
Maji ya baridi ni pozo.
Ukaoga maji ya moto ni sawa na kufanya mazozi Saa moja.
Kufanya mazoezi ni sawa na kuoga maji ya moto.
Kwa wale wenye maradhi wanaoshauriwa wafanye mazoezi! Na wakawa hawana uwezo wa kufanya hayo mazoezi wanashauriwa watumie kuoga maji moto kama mbadala wa mazoezi. Lakini inabidi mwili uandaliwe namna ya kuyapokea maji moto

Ukaoga maji moto yakakutana na bahari ya ndani ya seli imechemka.
Maji uliooga yatachemsha bahari ya nje na yanje itajaribu kuipasha moto bahari ya ndani wakati nayo imechemka.
Hapo matokeo yatakua ni kuchoka,kuishiwa nguvu,kutoka Jasho,kiu na mengineyo mengi hujitokeza,
Kwa wanaume shahawa zitakua nyepesi hivyo kusababisha kufika kileleni mapema.
Pia vile vile kwa wanaume hao hao Mbegu za kiume zitashindwa kuogelea kwenye shahawa kwakua shahawa ni nyepesi na hatimae kushindwa kulifikia yai la mwanamke baada ya ijaclation.
Hivyo kukufanya mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke.

Kwa Wanawake Yatasababisha maumbile ya kike kulegea na kushindwa kulitambua umbo la mwanaume hapo hata uume uwe mkubwa bado uke hauto ubana uume sawa sawa.

Pia ukaoga wakati bahari ya ndani imechemka.Hili ni kwa wote ngozi na nywele zitakua vikavu kwakua yataondoa Yale mafuta laini ambayo ni kinga kwa ngozi.

Kwa hiyo maji yote ni mazuri kwa afya na mabaya kwa afya.

Ili yalete faida kwa mwili fuata taratibu na kanuni za maji.
Ukahisi baridi wewe mwenyewe Sio kipindi cha baridi hili kwa wewe mwenyewe.
Ujue unatakiwa uupe mwili maji moto.
Ukasikia kiu yamaji bila kuhisi joto, hapo unatakiwa unywe maji sio kuoga.

Ukahisi joto na kutoka Jasho kiu na kuchoka unatakiwa uoge maji baridi.

Ukawa unatetemeka baridi huku mwili umechemka hiyo ni hitilafu katika bahari hizi mbili ya joto la maji.
Hapo kuna bahari moja imechemka moja ya baridi
Mara nyingi hua ni bahari iliojishikiza nje ya seli ndio hua imechemk, ikijaribu kuilazimisha na ya ndani ichemke ndio matokeo hua hayo. Hapo humaanisha kuna bacteria wamevuruga usawa wa joto la bahari.

Msweet nimatumaini yangu umeelewa vyema asante na karibu tena.
Mama Yangu anasumbuliwa na ugonjwa ambao anahisi anaungua kwenye mashavu, mabwegani, na kichwani usawa wa utosi.
Wakati mwingine akiwa anaungua hivyo kuna vitu vinamchoma kama vichomi kichwani.
Pia anakuwa anakaukiwa shingoni kama ana kikohozi kikavu.
Hali hii ya kuhisi kuungua ni ya muda mrefu sasa. Hata mwaka jana ilimtokea ikaja ikaacha.
Dr. Hali hii inaweza ijawa inasababishwa na nini?

Je kuna tiba yake?
 
Asante,
1. Miaka ya nyuma ilikua hvo, lkn kwa sasa nina miaka mingi sijapata maumivu ya nyonga wakati wa bleed
2.hapana, sina kumbukumbu za kupata maumivu chini ya mgongo
3.hapana, nikiwa sijalaa njaa inauma sana tu
4. Wakati wa sex nilishawahi hisi maumivu mara chache
Habari cutel;
Ingawa leo nilikua nianze nawewe.
Lakini sintoanza nawewe. Kwani leo sina swali la kukuuliza vumilia leo kesho nitakupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
Pole kwa kusubiri.
 
Habari za mchana bwana kitichema.
Ni kwamba amoeba ni kweli hua hawaishi kama ukiwaua wenyewetu.
Kuna mnyoo anaeitwa ASCARIS
Huyu hua ndani ya tumbo lake anakua amebeba Amoeba.

Kwa ufupi ni kwamba unapotaka kumshambulia amoeba inabidi uwaue wote wawli.
Kama utakua unawaua amoeba pekee ni kwamba, hapo utakua unawaua wale ambao hawako matumboni mwa ASCARIS. Na hapo utakua umepona kwa siku chachetu. Muda ukifika wale waliokua matumboni nao wanakua nje. Hapo ukipimwa amoeba wanaonekana tena.
Yani kanakua kamchezo hako siku zote.

Pia kama utamuua ASCARIS pekee. Hapo ni sawa na kwenda kuitungua ndege ambayo imebeba mabomu. Hatimae mabomu yanaanza kufyatuka na kuleta madhara.

Dawa za minyoo zina desturi ya kuwaua minyoo kwa kuwakata vichwa na hapo wale walioko matumboni hupata nafasi ya kutoka. Kuendelea kuleta madhara.

JINSI YAKUTIBU AMOEBA
Daktari akithibitisha unashambuliwa na Amoeba lazima akumbuke pia kwa namna yoyote ile pia unashambuliwa na Ascaris.
Kwa hiyo matibabu ni lazima akupe yenye mrorongo wa wadudu wote wawili. Ambao ni huu hapa.

Tablets Albendazole kwa kumuua na kumkata kichwa Ascaris.
Caps Amoxilin kwa kuwaua wale waliotoka tumboni mwa Acaris
Na ni kwamba wanauliwa na Amoxilin kwa kua wale hawa kua amoeba kamili Bali ni mayai. Na yai kitaalam hua ni seli, kwa hiyo hayo mayai yataangamizwa na Amoxilin kama bacteria. Kwa kuvuruga ukuta(cyst) wa seli zao.

Tablets Metronidazole zenyewe huenda kuwaua wale amoeba waliokua walishatoka mda mrefu katika matumboni ya ascaris na kuanza kujitegea na kuleta madhara na ndio walioonekana kwenye darubini.
Ukubwa wa dozi ina tegemea na tishio aliloliona daktari.

Kwa hiyo ndugu kitichema, sio kwamba amoeba hawatibiki kwa dawa zetu, hapana. Wanatibika ila shida ni moja.
Haya mambo ya technology ndio tatizo. Sasa hivi kuna maabara nyingitu ambazo wanavibari vya kupimatu sio kutibu.
Kwa hiyo wateja wao wakipima wanawaambia wakanunue dawa Dukani. Hii ni sawa na kusema Simba ale nyama hapa maji akanywe mtoni. Na hili huwafanya Wakiondoka hapo, sasa wagonjwa wenyewe wanakua wagonjwa wao na madaktari wao.
Akifika Dukani anamwambia muuza dawa nipe dawa ya kutibu amiba.

Nesi nae ana hitaji pesa, haraka anampatia TINIDAZOLE. Matokeo yanakua ndio hayo. Watu wanapoteza imani.

Kwaupande wa hernia. Ni kwamba hernia yoyote ile kama imethibitika kua ni hernia tiba sahihi ni upasuaji, ili kuiweka sawa eneo hilo.
Ziko dawa ambazo unaweza tumia lakini. Ni dawa ambazo za kupungua maumivu na uvimbe.

Kwa hiyo kumbukuka unapokua ukitumia dawa mbali mbali ndivyo ambavyo unavyozidi kuchelewa. Ingawa unaweza kua unonekana kupona.

Mshauri rafiki yako aende aonane na wataalam wao ndio watajua ukubwa wa tatizo. Na njia ya kuliondoa.
Thanks Doctor. Nitajaribu hizo Amoxlini nione kama nitapona then nitakuletea mrejesho sawa mkuu
 
doctor naomb kuliza ni mda gani virus vya ukimwi vinaweza kuonekana baada y kufanya mapenzi na kuhisi kama umeambukizwa n mwenzi wako na kwenda kupima hospitali?
Habari ndugu Atwoki.
Ni kwamba watu wengi hua na wasi wasi pale wanapokutana na wapenzi wasiowaamini na kuitaji kupima baadatu ya kumaliza swala lao hilo au siku inayofuata.
Kimsingi mtu unatakiwa upime kwanzia siku ya 10 toka kufanya ngono, hadi miezi 3. Kwanzia siku ya kumi ndo vinaweza kuonekana.

Ukakutana na mwanamke halafu kesho ukaenda kupima ukakutwa umeathirika basi alie kuambukiza sio huyo uliokua nae Jana . tena pengine hata huyo ulikua nae Jana umemwambukiza wewe.
Na hii ni kutokana na vipimo vyetu tunavyotumia na kinga ya mtu ndio maana tunasema kusubiri siku kumi ndo upime. Na ukapima siku 10 ukakutwa hamna subiri miezi mi tatu kisha kapime.
Lakini pia ukumbuke katika kipindi hicho chote cha kusubiri ili vipimo viweze kutambua unaweza kua unaambukiza wapenzi wako.
Nafikiri umeelewa ndugu Atwoki.
 
Nimeambiwa nina spine stenosis. Je, ugonjwa huu unapona ? Kingine.. Je, nikifanyiwa upasuaji wa spinal cord ni salama kwa hapa Tz au risk kubwa zaidi tofauti na nchi za nje?
 
Habari cutel;
Ingawa leo nilikua nianze nawewe.
Lakini sintoanza nawewe. Kwani leo sina swali la kukuuliza vumilia leo kesho nitakupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
Pole kwa kusubiri.
Thanks dear!. Will be waiting
 
Habari za leo msweet:
Kwanza kabisa kabla sijaenda kukufahamisha faida na hasara. Ningependa nianze kwa kuyatambua maji kwaujumla wake, umuhumu nakazi yanazofanya mwilini.

MAJI
Msweet maji ni uhai, "bila maji hakuna kinachoishi" Damu nzito kuliko maji!

Tukiangalia maneno hayo tunaweza kujiuliza maswali mengi sana.
'Ina maana uhai tulionao ni maji!
'Kwanini Damu iwe nzito'!
'Kwanini waseme maji ni mepesi'

Maswali haya unapoanza kuyafikiria maji ni lazima utajiuliza.

Baada ya Oksijen ni maji. Maji ni kitu muhimu katika uhai.

Mwili wa binadamu umebeba asilimia 70 hadi 80 ya maji.
Na hii ni katik chembe hai za mwili kunako hitajika maji mengi.
Plasma ya damu hutengenezwa na asilimia 90 hadi 92 ya maji na asilimia 8 hadi 10 ni ujazo wa oksijen.na virutubishi mbalimbali.
Hivyo maji ni dutu muhimu sana kwa sababu hutengeneza uhai na uzima wa mwili.

Damu ni uhai pia kwani pasipo damu hakuna uhai wa mwili.
Damu, maji, oksijen, na virutubishio ndivyo huupa mwili uzima uliokusudiwa.

Chembe hai za matumbo ( interstine)hudumu kwa siku 4 tu kisha hufa na kutolewa nje ya mwili kwa njia ya haja kubwa.( stool) wakati zile za tumbo (stomuch) hudumu kwa siku 5.
Chembe hai za ngozi hudumu kwa siku 30 kisha hufa na hutolewa nje wakati unaposafisha ngozi
Wakati zile za Ini hudumu kwa siku 42 kisha huliwa na chembe hai nyeupe( macrophages) ambazo kazi yake ni kusafisha chembe mfu kwa njia ya kuzila

Chembe hai nyekundu (RBC)hudumu mwilini kwa siku 120 kisha kuliwa na macropheges.
Wakati chembe hai za mifupa hudumu kwa muda wa siku 90 na kuliwa na macropheges.
Chembe nyeupe (WBC) hudumu mwilini kwa muda wa mwaka mmoja kisha na zenyewe kuliwa na macropheges.
Neva au neuron hudumu kwa zaidi ya miaka 90, zenyewe hufa wakati mtu anapokufa.

Maji ni muhimu sana mwilini kama ilivyo kua muhimu kua na uhai.
Mtu mzima anapaswa anywe Lita 2 kwa siku. Lakini mgonjwa anapaswa anywe Lita 3 hadi 5 kwa siku kwa sababu chembe hai za mwili na hasa chembe nyeupe zina hitaji nguvu ya kutosha ili kupigana na maradhi pindi Mtu anapokua mgonjwa

Jinsi mwili unavyo hitaji Damu ndivyo unavyohitaji maji Katika Saa moja kiasi cha Lita 45 huwa zimeulonisha ubongo na kuuzunhuka.kwa kuupa uhai.

Mwili wenye damu safi Maji safi oksijen ya kutosha. Hufanya Mtu awe na afya bora kwani maradhi yanapomvamia hupigwa vikali na kuangamizwa.

Panapo tokea upungufu wa maji kitu kimoja lazima kipotee.
Na baadhi ya kazi za seli hufa.

Maji ndio chanzo kikuu cha nguvu. Maji hutumika kama moja ya malighafi ya usanifu wa ujenzi wa seli na huziweka seli katika hali nzuri
Maji hukinga uharibifu wa vinasaba (DNA)

Sodiam, Patasiam, na kloride ni electrolytes( madini maalum) ambayo huyeyuka katika maji na hubeba chaji za kiumeme. na kuzipeleka sehemu zote kuliko na maji.

Madini haya ya kiumeme yanauwezo wa kuingia na kutoka ndani ya seli kwa Uhuru wote huku yakipeleka lishe ndani ya seli na kutoa nje taka na maji yaliozidi ili kuziacha seli katika hali yake ya usawa.

Electrolyte hizi zinapatikana katika maji maji yote mwilini na hubeba mapigo(impulses) kwenye Neva zetu.
Kitendo hiki huu saidia moyo na kiwambo cha moyo(diagragm)kusinyaa na kulegea.

Electrolytes hubeba glucose( damu yenye sukari)na kuipeleka ndani ya seli baada ya insulin kufungua milango kwa ajili ya sukari kuchukuliwa.

Electrolytes pia huwasha pump za kuzalisha nguvu ziitwazo cotion pumps ambazo huzalisha umeme ambao huhifadhiwa kwenye betri zijulikanazo kitaalam kama mg ATP (Adinosine Triphosphate)na mg GTP( Guanosine Triphosphate) za mwili.

Katika mwili kuna bahari mbili, moja imejishikiza ndani ya seli na ya pili imejishikiza nje ya seli.
Afya nzuri hutegea na usawa mzuri wa maji katika bahari hizi mbili.

Kutokana na kazi nilizozita huko juu zinazofanyika ndani ya mwili, kuna wakati bahari hizi hua zinacheka.
Na zikichemka hapo ndio mahitaji ya maji hutakiwa.

Kama itachemka bahari iliojishikiza ndani ya seli, wewe mhusika hutojua kama bahari hii imechemka.
Hapo kitachoweza kutambua hilo ni ubongo, na ubongo ukitambua hilo, hutoa taarifa kwa tezi maalum, ambayo tezi hiyo itatoa homon maalum ambayo itakuchochea kupata kiu( hitaji la kunywa maji)

Bahari iliojishikiza nje ya seli Mara nyingi huchemka kutokana na harakati zako wewe mhusika, na ikichemka bahari hii, kuleta matokeo yafuatayo. Kwanza hufanya kuiathiri na bahari ilioko ndani nayo ichemke.
Hapo matokeo hua ni haya hapa.
1 Kujisikia kuchoka na kutoendelea na kazi.
2 Ngozi ya mwili kuvuja Jasho.
3 mwili kuishiwa nguvu
4 kiu.

Zinapojitokeza hali hizo hapo sasa ni mwili una hitaji maji yabaridi yapitie kwenye Tabaka la juu la ngozi( kuoga)

Wakati kama huu ukaupa mwili maji ya kuoga ya baridi maji yatakua ni dawa na faida kubwa kwa mwili. Faida zenyewe ni
1 Ukaoga mda huu kuchoka kutatoweka na kukurudishia utayari wa kuendelea na majukumu ulionayo.
Itakua hivyo kwa sababu maji yabaridi yatakwenda kupoza bahari iliojishikiza nje ya seli, na bahari hiyo ikipoa, itasababisha bahari iliojishikiza ndani ya seli nayo kupoa.hivyo kufanya mwili uwe vizuri.

2 Wakati kama huu ukaoga ngozi na nywele vitalainika vizuri kwakua Yale mafuta laini yanayolinda ngozi na nywele havitoondolewa.

3 kuoga wakati kama huu huongeza kinga ya mwili kwa kua hufanya kuongeza kiwango cha umetaboli hivyo pale mwili unapojaribu kujipasha moto baada ya kuoga hapo ndio zinapozalishwa chembe nyeupe za kupambana na maradhi.

4 Kuoga wakati kama huu, huhamasisha kupungua uzito.
Kwani binadamu baada ya kula vyakula mbali mbali kiasi Fulani cha mafuta huhifadhiwa mwilini.
Baada ya kuoga maji baridi pale mwili unapojaribu kujipasha moto kiasi Fulani cha mafuta huyeyushwa na kutumiwa kuupasha mwili joto.

Pia huchangia afya ya misuli na hufanya mwanamichezo kua imara.
Pia Kuondoa msongo wa mawazo.
Pia hulinda afya ya uzazi ya mwanaume na mwanamke.
Kwa wanaume huwafanya wabaki na maumbile yao waliokua nayo bila kuharibika chochote.
Wakati kwa upande wa Wanawake huwafanya wawe na maumbile yalio katika hali ya kufuata umbile la uume,
Yani pale mwanamke anapokua katika hali ya kusisimka, umbile lake la kike hubana kufuata umbile la mwanaume kwa muda huo. Hapo hata kama umbile la mwanaume litakua dogo, litaeneatu. Na naimani zile misemo mipya za vibamia havito kuwepo. Pia hufanya mtu apate usingizi mzuri.
Pia huboresha mzunguko wa damu na kufanya damu izunguruke vizuri mwilini.

Kwaujumla maji yote ni mazuri na yanafanya kazi zote hizo yawe ya baridi au ya moto.

Ilimraditu yatumike kwa maitaji ya mwili sio kwa mahitaji ya mtu binafsi.

Maji ya moto ni mchemsho.
Maji ya baridi ni pozo.
Ukaoga maji ya moto ni sawa na kufanya mazozi Saa moja.
Kufanya mazoezi ni sawa na kuoga maji ya moto.
Kwa wale wenye maradhi wanaoshauriwa wafanye mazoezi! Na wakawa hawana uwezo wa kufanya hayo mazoezi wanashauriwa watumie kuoga maji moto kama mbadala wa mazoezi. Lakini inabidi mwili uandaliwe namna ya kuyapokea maji moto

Ukaoga maji moto yakakutana na bahari ya ndani ya seli imechemka.
Maji uliooga yatachemsha bahari ya nje na yanje itajaribu kuipasha moto bahari ya ndani wakati nayo imechemka.
Hapo matokeo yatakua ni kuchoka,kuishiwa nguvu,kutoka Jasho,kiu na mengineyo mengi hujitokeza,
Kwa wanaume shahawa zitakua nyepesi hivyo kusababisha kufika kileleni mapema.
Pia vile vile kwa wanaume hao hao Mbegu za kiume zitashindwa kuogelea kwenye shahawa kwakua shahawa ni nyepesi na hatimae kushindwa kulifikia yai la mwanamke baada ya ijaclation.
Hivyo kukufanya mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke.

Kwa Wanawake Yatasababisha maumbile ya kike kulegea na kushindwa kulitambua umbo la mwanaume hapo hata uume uwe mkubwa bado uke hauto ubana uume sawa sawa.

Pia ukaoga wakati bahari ya ndani imechemka.Hili ni kwa wote ngozi na nywele zitakua vikavu kwakua yataondoa Yale mafuta laini ambayo ni kinga kwa ngozi.

Kwa hiyo maji yote ni mazuri kwa afya na mabaya kwa afya.

Ili yalete faida kwa mwili fuata taratibu na kanuni za maji.
Ukahisi baridi wewe mwenyewe Sio kipindi cha baridi hili kwa wewe mwenyewe.
Ujue unatakiwa uupe mwili maji moto.
Ukasikia kiu yamaji bila kuhisi joto, hapo unatakiwa unywe maji sio kuoga.

Ukahisi joto na kutoka Jasho kiu na kuchoka unatakiwa uoge maji baridi.

Ukawa unatetemeka baridi huku mwili umechemka hiyo ni hitilafu katika bahari hizi mbili ya joto la maji.
Hapo kuna bahari moja imechemka moja ya baridi
Mara nyingi hua ni bahari iliojishikiza nje ya seli ndio hua imechemk, ikijaribu kuilazimisha na ya ndani ichemke ndio matokeo hua hayo. Hapo humaanisha kuna bacteria wamevuruga usawa wa joto la bahari.

Msweet nimatumaini yangu umeelewa vyema asante na karibu tena.

Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwako Daktari kwa elimu hii tunayofaidi toka kwako. Asante sana Daktari kwa majibu haya mazuri, yenye kueleweka. Hakika tunajivunua Daktari, wewe ambaye unatoa elimu, ushauri na maarifa bure kwetu sisi wananchi wa kawaida kabisa.

Nkingwamh, Big up Man.
 
kwanza Pole kwa majukumu mkuu
Kuna mshkaji wangu ana tatizo la maumivu ya kende pamoja na maumivu ya tumbo chini ya kitovu sometimes anashindwa hata kusimama straight...pia anadai kuna muda uume wake unauma kana kwamba kuna kitu chenye ncha kali kinachomchoma....tusaidie hapo mkuu pengine utufahamishe nini tatizo kwa viashiria hivyo
 
Ulianza mwasho mkali kichwani akakuna baada ya mda kidogo akasikia kama kuna majimaji yavujia kwa ndani..

kuna mda akitikisa kichwa anahisi kama kuna maji yanacheza ndani ya kichwa hasa akikaa juani kwa mda kidogo na kuna wakati anasema kua yanakua kama yamekauka.. Na uwa hasikii maumivu yoyote

Je iki kinaweza kua ni kichwa maji.?

Kwako Dokta ushauri na Tiba
 
Back
Top Bottom