mvetenam kambodia
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 149
- 92
Doctor kutoa mbegu nyingi kupita kiasi za kiume wakati wa kugegeda je ni tatizo?
Habari Dadaa!Hello kaka, kwanza nikupe hongera na pole za dhati kwa muda wako wakujibu mengi unayoulizwa kwa marefu na mapana. Huo ni moyo wa kipekee.
I sincerely congratulate yu. M.Mungu akusimamie na akujalie sawasawa na mahitaji yako
...
Nina shida tatu; kwanza me ni KE (26)sina mtoto na wala sijawahi kushika mimba wala sijawahi kujaribu kushikaa .
kwanza huwa nina mzunguko wa 28 days (hedhi).ila nimekua na tatizo ambalo hunikosesha sana amani, huwa naingia ktk siku zangu kwa siku tano ad saba..huwa ni bleed ambayo ni heavy na wakati mwingine maumivu makali ya tumbo. Pia mara nyingi huwa na bleed ktk hali ya mabonge bongenapata wakat mgumu saana
Haishii hapo, kabla ya siku 28 kuisha huwa najikuta nikipata tena bleed japo sio nyingi lakn huwa kama nyeusi zaid na wakati mwingine rangi kama ya udongo/kahawia. Nimejichunguza nikagundua hii hali hutokea kwenye zile ovulation days yaan kuanzia sana sana siku ya 11 ad 17 baada ya kumaliza siku saba za bleed. Napata wakat mgumu saana kuelewa hili nini
Hosp nilishaenda but just niliambiwa ts hormone imbalance..kitu ambacho sikielew. Napata mawazo saana
Msaada kwanza hili kabla sijaendelea na matatizo mengine. Am ready kutoa maelezo zaid
.hali hii ina miaka takriban 7japo kuna miezi huwa sipat hali hyo
Thanks a lot.Habari Dadaa!
Pole kwa tatizo hilo. Unajua matatizo yenu ninyi kina mama, kiukweli hua yanatoa majibu pale pale, pinditu unapokua ukitoa maelezo.
Na mama ama Dada unatakiwa unapokua ukitoa maelezo kwa daktari wa eneo hilo unatakiwa, utoe maelezo kadiri unavyoona na ikiwezekana, unaweza kulazimika kujibu maswali machache kutoka kwa daktari.
Kwamfano maelezo hayo ulio eleza hapo moja kwa moja, Mimi inanilazimu kutofautiana kidogo na wenzangu.
Hapo ulipoambiwa una tatizo la hormone imbalance. Sijui kama ulipimwa ama ulitumika uzoefu.
Maelezo yako yanaonyesha wazi kua unaweza kua na Tatizo katika mfumo wako wa uzazi mbali na hormone imbalance.
Kile kitendo cha kutambua kua na mzunguruko wa siku fulani , ni ishara wazi kwamba tatizo si hilo. Kwani kama lingekua ni tatizo ndio hilo sidhani kama ungeweza kukumbuka kua menstrual cycle ni siku Fulani. Kwani hata upatikanaji wake Ingekua ni ya kutokueleweka.
Sasa dadaangu kwakua umesema hali hiyo ina miaka 7 na wewe hapo ulipo una miaka 26 ya nyuma, nimefanya hesabu hapa nimeona tatizo hilo limekuanza ukiwa na miaka 19 ya nyuma.
Sasa ningependa ujibu maswali machache kwanza ili nikupe ufumbuzi wa kueleweka na hata ukienda kwa doctor iwe ni rahisi kwako na kwake pia kuamua.
1 Start of menstrual days ulianza mwaka gani?
2 kuanza kumjua mwanaume(sex) ni mwaka gani?
3 siku za kuelekea kupata hedhi ya mwanzo ulikua unasumbuliwa na nini hasa maeneo ya tumbo(chini ya kitovu)
4 Je ulishawahi tokewa na hali ya kutokewa damu wakati wa kusex na kama ndivyo ni Mara ngapi?
Tuanze na hayo kwanza dadangu kama hutojali tafadhali.
*Pia ishu ya mzunguko kuna miez huwa inakua 30 au pungufu ya 28 ila ni mara chache ktk mwaka na hutokea hasa nikibadilisha mazingira.Thanks a lot.
..
1.Hedhi nilianza 2003 (was in std 6 en i was 12 years old).
2.Mara ya kwanza kusex ilikua 2011 December
3. Hapa sijakupata vizur, kama yu mean nilivoanza hedhi kwa mara ya kwanza kwel sina kumbukumbu ya kupata tatizo zaid ya maumivu ya tumbo wakat wa bleed kwa siku 2 au 3 za mwanzo na sio miez yote, japo hayakua makal kama ya sasa
4. Yes, mwaka juz 2016 nilitokwa damu wakati wa kusex kwa mara ya kwanza. Ni mara moja sema apa katikat sijafanya sex kwa mdaa saana
Asante
Habari za leo:*Pia ishu ya mzunguko kuna miez huwa inakua 30 au pungufu ya 28 ila ni mara chache ktk mwaka na hutokea hasa nikibadilisha mazingira.
Habari za mchana bwana kitichema.Doctor mkuu me nahitaji kujua magonjwa haya kama nitapata ufafanuzi itakuwa vyema zaidi.
1. Kwanini ugonjwa wa amiba kwa kutumia dawa za hospitalini hauponi? Hii ni kwa sababu nimesha wahi tumia kila aina ya dawa za hospital lakini hakuna mafanikio na sio mimi tu hata watu wengine wanasema hivo hivo.
2. Nikweli kwamba ugonjwa wa HENIA iliyoko katika utumbo mpana ambayo imetokeza kwenye njia ya hajakubwa haitibiki kwa dawa za kawaida mpaka ufanyiwe upasuaji. Kuna rafiki yangu ako na matatizo ya Henia
Asante.
Kwa kweli sina kumbukumbu yakua na tatizo serious la tumbo zaid ya kuumwa tumbo kawaida kabla ya kuvunja ungo. Sasa sikumbuki kama lilikua linauma chini ya kitovu au laa maana sikuwa na uelewa huo. Just nilikua najua tu tumbo linauma. That's all
Habari bwana tembocardAsante sana doctor ubarikiwe kwahiyo nitumie Dawa gani au niache tu hvyo hvyo nitapona
Habari ndugu Havana.Naomba ufafanue tatizo LA halitolisis Dr
Habari bwana Hoshi koshisawa ndug, shukran nataka nijaribu nipo dar, unadhan unanishaur wap naweza pata matibabu sahihi
Habari bwana idrissiDr Mama yangu anasumbuliwa sana na ganzi katika mikono na miguu yake kila mara yeye anajishugulisha na uchomaji wa keki je,tatiz litakuwa nini?..maana ana mwaka sasa linamsumbua
Habari ndugu . kwanza ningependa utofautishe kati ya Mbegu na shahawa. Sijui hapo unaulizia ni kipi kati ya hivyo.Doctor kutoa mbegu nyingi kupita kiasi za kiume wakati wa kugegeda je ni tatizo?
Habari nduguDoctor nina ndugu wakike anasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo wakati wasiku zake.
Anafika umri wa miaka 25 kwa sasa na hajaolewa lakini hii hali anayo zamani tu. Siku 2 mpaka tatu za mwanzo hali hua siyakawaida kabisa.
Habari bwana HamjuniorNaomba kuuliza au kufahamu hii kukojoa mara kwa mara ni dalili ya ugonjwa gani
Nina tatizo la mgongo kuuma sana hasa wakat wa usiku pia nikikaa muda mrefu nimechek xray hamna tatzo.. Tatzo hili nila muda mrefu toka 2008 nikilala uck had nijikunje ndo napata nafuu siwez kaa kwa kunyooka au kulala nimenyooka unauma sanaKama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayo husu afya