Thanks dear!. Will be waiting
Habari Cutel
Pole sana kwa kusubiri Sikua nimekusahau ila nilikua na majukumu mengi ya kikazi. Lakini usijali nimerudi.
Dadaangu kutokana na maswali yote niliokuuliza na majibu uliokua ikijibu
Tatizo yako nimehusisha na kushindwa kutoka kwa ute ijulikanao kama Anticoagulants ute hii hua inakuja na kemikali ambayo hufanya kukinga kuta ya Uterus usiharibike wakati wa kuhedhi.
Kemikali itokanayo na ute hii hufanya tukio la kuifanya damu isigande na iwe nyepesi na isikae sehemu yoyote kwenye kizazi yako.
Kitendo hicho hufanya Uterus kuachwa safi na salama baada ya kuhedhi.
Kama unableed pasipokuvuruga utaratibu wa cycle basi shida iko hapa,, ute hii kama inakua hakuna, hata ile kemikali pia itakua hakuna.
Hivyo hapo damu itakua haidhibitiwi na matokeo ni kufanya damu yako kutoka ikiwa heavy kama ilivyo wewe na kwa muda ndefu.
Hali hiyo pia hufanya kukuachia mabaki ya damu maeneo yote ya mapitio(fallopian tube) pamoja na Uterus.
Kitendo hii ya kubaki baki damu, husababisha maumivu wakati wa kuhedhi. Pamoja na layer of uterus(tando) kuharibika.
Ambavyo layer hii inapo haribika hupelekea shepu au umbo la Uterus kua si ya kawida Pia hupelekea ile tishu kubaki bila kinga.
Ambavyo tishu hii ya Uterus ikiondokewa ile layer hua ni rahisi sana kuathiriwa na kazi za endocrine gland zinazohusika na utoaji wa hormones za estrogen na Progesteron zinazochavusha overy.
Hormone hizi zinapokuja katika majukumu yake kama kutakua hakuna layer hii kwa muda ndefu husababisha kuta za kizazi kuanza kumea vivimbe.
Vivimbe hivyo ni kama Intracavitary, ambacho hua kikimea kwenye kuta ya juu ya uterus, na kwa bahati mbaya kadiri unavyoendelea kukua hua ndivyo inavyoteremka chini.Na kuendelea kukua na kua uvimbe mkubwa kama Mama aliemimbika.
Pia intramural hii humea katikati ya tishu laini iliokosa layer na hukaa pembeni ya uterus na hii hua si rahisi kugundulika kwani hua imejificha katikati ya tishu.
Pia Kuna hii Sabmucosal hii Mara nyingi humea pembeni mwa uterus.
Lakini hii ni rahisi kugundulika kwani yenyewe uvimbe hujitokeza kwa juu na kuonyesha kilima.
Lakini kwa wewe vivimbe hivi vyote kwa maelezo niliokuhoji inaonekana huna.hata kimoja
Isipokua uchungu ulionayo ni kutokana na kukosekana kwa ute hii pamoja layer.inayolinda uterus wakati damu ikichirizika.
Pia ziko zivimbe zingine ambazo hazisababishwi na kukosekana kwa anticoaglants, lakini zenyewe hazimei maeneo haya.
Mimi nimekutajia hizo tatu kwakua iko wezekano ya kupatikana nazo mda wowote kutokana na tatizo hilo.
SABABU YAKUKOSEKANA ANTICOAGULANTS.
Sababu ya kupungua au kukosekana kwa ute huu ni.
Dawa za kupanga uzazi Mara nyingi inahusishwa na tatizo hili.
Pia Vipodozi vya kupaka vyenye steroid na baadhi ya dawa za nywele navyo huhusishwa.
Pia kuna sababu za kijenitic, ambazo unaweza kua umerithi hali hiyo.zote hizo ni sababu ambazo zinahusishwa lakini pia kuna maambukizi ya Clamydia na yenyewe pia yapo katika fomu hiyo katika visababishi.
Katika yote hayo iko sababu hii hapa ambayo Wanawake wengi ndio kisababisha kikubwa
Mwanamke Kukaa mda mrefu bila kukutana na mwezi wake. Pia mwanamke kukutana kimwili pasipo kufika kileleni.
Hizi ndizosababu Mara nyingi kwa akina mama wengi.
MATIBABU
Matibabu inategemea kiwango ya tatizo ilipofikia pamoja na visababishi
Lakini tibabu ya msingi kwako ni kuhakikisha kufanya kurudisha anticoagulants.
Na urudishaji wa ute huu ni vizuri zaidi ukatumika mwili wako wenyewe. Pasipo kutumia dawa.
JINSI YA KUFANYA;
Kuhusu hili ningependa uje PM ili nikuelekeze vizuri ikiwa ni pamoja na kukuelekeza dawa za kutumia kwani pia iko haja kutumia aina fulani za antibiotic kwa kua tatizo lishakua la muda mrefu.
Nimatumaini yangu utakua umeelewa vyema Dada cutel