Recent content by MAWANI

  1. MAWANI

    GE2010 Mbinu na uwezo wa Dr Slaa washuka

    Kwa mtizamo wangu umetoa maoni yako. Kama imeripotiwa kuw amekuja kwenye kikao cha kamati kuu, wewe ukasema ameishiwa hoja, hapo tujadili nini? Tujadili kauli yako au taarifa sahihi kutoka CHADEMA?
  2. MAWANI

    Kinana: Elimu ya Bure Mpaka Kidato cha Sita Inawezekana Kabisa

    Ok I agree with you Jatropha. Pia tuendeleze kampeni ya mtu kwa mtu. Niliisha wahi kusema kila mmoja wetu amshawishi na kumwelimisha kila ndugu, jamaa na rafiki ili amchague Dr. Slaa, nchi yetu ikombolewe. Amina. Endeleza mapambano; Tuikomboa nchi yetu mikononi mwa maadui, MAFIDADI NA CHAMA CHAO.
  3. MAWANI

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Naona wana JF wengi wanadai Moshi ndo kuna mizizi, Mwanza je ilikuwaje? Mmesahau? Mara? ni kila mahali. Hata kura watampa tatizo litakuwa Uchahachuaji wa CCM
  4. MAWANI

    Kinana: Elimu ya Bure Mpaka Kidato cha Sita Inawezekana Kabisa

    Jatropha, Taarifa na uchambuzi wako ni mzuri sana. Tunawezaje kuufikisha kwa wengi? Watanzania tutaendelea kufanywa wajinga mpaka lini?? Badilikeni!!!
  5. MAWANI

    Jamani Mmeisoma hii???

    Nani kamwambia JF ni ya Chadema? Mbona watu wanachangia kwa uhuru? Tatizo ni kuwa CCM hawataki kukubali kuwa wananchi wamewachoka. Kwa akili zangu, nawashangaa wale wanaoshabikia wizi, ufisadi, na unayanganyi wa mali za umma. Mimi mwenyewe ni mwanachama wa CCM lakini ninakerwa na matendo yao. Na...
  6. MAWANI

    Kinana: Elimu ya Bure Mpaka Kidato cha Sita Inawezekana Kabisa

    Ndugu zangu Akina kinana wanatia kinyaa. Malengo yao ni kuhakikisha nchi hii inamilikiwa na wachache wenye elimu bora na wale wenzangu ambao wana uchumi mbovu, wafilie mbali au kuendelea kuwa mbumbumbu. Katika gazeti la Mwanahalisi uk.2 kuna malipo ya CCM kwa serikali kutokana na kukodi nduge...
  7. MAWANI

    Tshs 98,000/- Zilichakachuliwa

    That is what hapens to our lives. Those who are poor, will continue being more poor and those rich will continue being more and more richer.
  8. MAWANI

    GE2010 Yah: Malipo ya salma yazua utata

    katika gazeti la MwanaHALISI Uk. 2 imeonesha kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa na CCM kwa serikali kutokana na kukodi ndege ya serikali kufanya kampeni yana warakini. ... kwenye hati ya madai ya tarehe 14 septemba 2010, ... imeonesha kuwa Kasma (vote) inayotawala fedha hizo ni no. 062 wakati voti...
  9. MAWANI

    Mwandishi wa BBC akamatwa kwa kuhoji shule kukosa vyoo Mwanza

    Nadhani wote tunajua ni kwanini CCM wanafanya hivyo. Main principles za CCM ni 1. Make people Blind!! Not to see what is going on in this country 2. Provide Low quality Education to minimise challenges 3. Make many people poor so that they get used to the problems 4. Scare people so that they...
  10. MAWANI

    GE2010 TBC Removes Policy Forum Ad

    Lilikuwa linaendelea mpaka lini, tunaweza kuwauliza Policy Forum. Siku ya Ijumaa wiki hii, watakuwa na Breakfast debate pale British Council kuanzia saa moja na nusu asubuhi mpaka saa tatu na nusu assubuhi, Hapo tunaweza kupata jibu sahihi. Kwaa anayetaka kuhudhuria fuata hii link hii...
  11. MAWANI

    wenzangu m'meiona hii toka itv??nimestushwa sana!!

    Zaidi ya hayo katiba yetu inaruhusu Mtanzania kugombea urais siyo zaidi ya mara mbili. Lakini haisemi kuwa lazima vipindi vifuatane. Ok? Kwa hiyo Kikwete angeenda Londan, St. Thomas akatibiwa kwa utulivu akiishapona, arejee by then itakuwa ni 2015. Hapo atagombea tena. Kama wa Tz wataona kuwa...
  12. MAWANI

    wenzangu m'meiona hii toka itv??nimestushwa sana!!

    Shekhe yahaya Yuko wapi? Alipaswa kuongeza nguvu zaidi
  13. MAWANI

    GE2010 Ccm wahaha kutafuta ushindi 2010

    kwa hali ilivyo, CCm hawawezi kushinda bali wanaweza kutangaza washindi. Ndiyo maana wanasomba watu ili waonekane kuwa watu wako wengi maana siku wakiiba kura, watu wakija juu, waweze waseme unaona mahudhurio ya wananchi katika mikutano yetu? Lakini wote tunajua janja ya nyani kula mahindi...
  14. MAWANI

    Napendekeza CCM ifutwe

    Hata wale wanaoruhusu kuingiza bidhaa feki ikiwemo maziwa Feki. wote hao wanatakiwa watafutwe na kuadhibiwa vikali sana. Makosa hayo yote yanatokana na very poor system put in place by CCM (Chama Cha Mafisadi). Tanzania Haiwezi kuendelea CCM ikiwa Madarakani. Hiyo ni True :confused2:
  15. MAWANI

    Marejesho ya Mkopo wa vyuo vikuu

    Katika Kampeni za sasa, ni chama gani kimesema kikiingia madarakani kitawasamehe wale "wadaiwa wa serikali" wa mikopo ya elimu ya juu? Ingekuwa ni hit kubwa.
Back
Top Bottom