Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

Hawana sera sasa hivi mwaka huu wameshikwa pabaya ndio maana wanahaha kila mahali kwenye TV,MAGAZETINI na kwingineko lakini wakae wakijua kuwa wataendelea kuvuliwa nguo hadharani kwa kuwa kila kinachoongelewa juu yao na ushaidi pia upo ndio maana Chegeni anahangahika na kupiga propaganda zisizo na msingi wowote ule

Walijaa zaidi ya hii wakati wa Mrema, itakuwa wakati wa huyu padri aliyefulia?
 
Hakuna cha kuhofia. Wao husema 'Ushindi unakuja'. Sisi twasema 'Muda unakuja'. Unaweza kuzuia hata bomu la nyukilia lakini huwezi zuia muda.

Kilimanjaro na Mikoa yote inayoamini mabadiliko kuwa ni lazima wanakilisha WIMBI la bahari linalosafiri.

Tsunami ilipiga Indonesia. Lakini wimbi la Tsunami lilifika mpaka fukwe za Pwani ya Tanzania.

Watu wa Tanga,Lindi na Mtwara (wanaaongoza kwa kufulia kila sekta.wazee wa gahawa, urojo na pweza) wakae tayari. Wimbi la mabadiliko linakuja. Na hakuna wa kulizuia.

Kwa wale wanaoota kurudisha majimbo kama Moshi Mjini kwenye mikono ya Mafisadi. Wasahau. Labda niwashauri --- Wahamie Tanga, Lindi na Mtwara.

Hilo tsunami la pombe ya mbege litaishia Kimara na Mbezi tu.:becky:
 
Moshi CCM haithubutu kupata kura ya mtu kule mgombea atabaki na kura yake peke yake tu na mkewe au mumewe. Watanzania wote tungekuwa kama hawa watu Moshi na Karatu tungeshakuwa mbali sana. Moshi na Karatu hongereni sana kwa kuonyesha ushujaa

Ule umati wote wa Wachagga uliojitokeza kumpokea na kumsikiliza JK walikuwa wale wafu waliofufuka ambao kwa nguvu ya padre aliyefulia hawataweza kufufuka siku ya uchaguzi kwenda kumpigia JK na mgombea wa CCM? Acheni habari za kitoto hizo.
 
Hapa nilipo nahesabu post ambazo Vatican atapost kufikia mwisho wa siku ya leo.
Post ya kwanza ilikuwa dakika chache zilizopita, sasa hivi kafikia post kumi na moja.
 
Hapa nilipo nahesabu post ambazo Vatican atapost kufikia mwisho wa siku ya leo.
Post ya kwanza ilikuwa dakika chache zilizopita, sasa hivi kafikia post kumi na moja.

Endelea na uzuzu wako wa kuishia kuhesabu. Au peleka vilio kwa moderators basi.
 
Endelea na uzuzu wako wa kuishia kuhesabu. Au peleka vilio kwa moderators basi.

Umeongea pumba hadi wakinamama wameondoka zao (kwa hisani ya Kibs):

muungano%20hoyee.jpg
 
Nina imani kila jambo lina mwisho wake. Kumbuka hata baba wa Taifa huko aliko lazima anamsumbua sana Mungu, "jamani angalia hawa watu wangu". Wanywe pombe wasinywe CCM cha moto wamekiona. wameshajua kuwa wananchi waliokuwa wamelala sasa wameamka. Hata kama watashinda which I belive HAWATA... watakuwa wamejifunza.
 
CHADEMA roots = (MTEI + MBOWE)= CHAGGA = MOSHI

AISEE KIMARIO, MUSHI, AUGUSTINE SAFARI HII LAZIMA TUINGIE IKULU...MKUU WE ACHA TU! (kamaa nilikuwepo vile)
CCM moshi mjini hawapawezi, sio leo...

HC ndani ya jf!!!
 
Naona wana JF wengi wanadai Moshi ndo kuna mizizi, Mwanza je ilikuwaje? Mmesahau? Mara? ni kila mahali. Hata kura watampa tatizo litakuwa Uchahachuaji wa CCM
 
CHADEMA roots = (MTEI + MBOWE)= CHAGGA = MOSHI

AISEE KIMARIO, MUSHI, AUGUSTINE SAFARI HII LAZIMA TUINGIE IKULU...MKUU WE ACHA TU! (kamaa nilikuwepo vile)
CCM moshi mjini hawapawezi, sio leo...

Mawazo yako ni finyu sana yaliyojaa ukabila usio na mantiki wala sababu kwa Karne hii. For one thing, hivi wanaoishi huko Moshi wote ni Wachagga? Kwani kuna ubaya gani Wachagga wakiingia Ikulu? Hata Wakwere wa Chalinze wote wanaweza kwenda kwenye mkutano wa kampeni wa Kikwete na hatimaye kumpigia kura Mkwere mwenzao vilevile! Au hilo unaliona liko kwa Wachagga tu?
 
Ushindi wa rufaa ya lema unadhihilisha ni jinsi gani mp4 ya chadema ilivyo na nguvu...! Ukweli ni kwamba mp4 invyo mhitaji lema katika harakati za kuikomboa nchi na hatimaye kufikia adhima au malengo ya chama kuingia ikulu 2015. Hongereni wanaharakati wote kwa kumpata mpiganaji lema kuingia tena bungeni...!!.
 
Back
Top Bottom