Jamani Mmeisoma hii??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Mmeisoma hii???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dena Amsi, Sep 23, 2010.

 1. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Naileta kama ilivyo kutoka wazalendo!!!

  09-05-2010, 09:48 AM
  Mack Fish[​IMG]
  Junior Member
  Join Date: Aug 2010
  Posts: 26


  [​IMG] JAMII FORUMS INATUMIWA NA CHADEMA VS KINANA.
  Kumekuwa na mashambulizi ya mara kwa mara kwa Mwenyekiti wa kampeni ya CCM bwana Kinana.kashfa na mashambulizi haya yamekuwa yakija kila mara kwenye mambo binafsi.kwa utaratibu huu bwana Jamii Forums imepoteza muelekeo kwa kuwa chombo kinachotumiwa kukashifu watu bila sababu.
  __________________
  Vijana Zaidi
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,348
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Huyu ni mmojawapo wa mamluki-wa-mtandao wanaotunga hoja za kipumbavu kuja hapa kutusumbua. JF ina WATU MAKINI, na CHADEMA haihitaji JF kufanya kazi ya kampeni za maji taka, kama inavyofanya CCM.

  Huyu ni wa kumpuuza. Ningekuwa Mod ningempa BAN ya mwezi mmoja, ashike adabu. Tena si Nick Ban, bali IP Ban!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Watatunga sana mwaka huu lkn Ushindi upo Chadema
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,513
  Likes Received: 900
  Trophy Points: 280
  Mnahangaika nao kwanini? Achaneni nao waendelee kujisifu na kutetea ufisadi. Kuna dogo mmoja anatumia jina lile lile hapa na kule na maramnyingi anawatetea mafisadi alilalamika juzi kuwa alikuja hapa tukamponda. So mkuu ni kuwapuuzia tu hao jamaa!
   
 5. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,232
  Likes Received: 1,100
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa hakuna usawa katika kusambasa habari (tumeshuhudia TBC na wengine wlivo bised) njia pekee ni kwa walio na mawazo yanayoelekeana kuwa na ka jukwaa kao.Michuzi blog haitoi nafasi kwa wapinzani wa CCM na mara mbili nimesoma sas makala za Mjengwa na naona nahitilafiana nae.
  Hivyo ni wazi JF itakuwa ni jukwaa la watu wanaoelekea njia moja.
  Tuvumiliane.
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,444
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Huyu ni Kinana mwenyewe!
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana ni mwizi wa mali yetu ya asili na pia jasusi ni lazima tumseme ingawa anatumia hicho chama cha CCM kama ngao ya kuficha madhambi yake!!
   
 8. ismase

  ismase Senior Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sikujua kama JF ni ya CHADEMA.
   
 9. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hatudanganyki 2010
   
 10. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakuna hoja hapa. Let me go to another thread.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  another UPUPU

  the guy is AUGUSTEEERZ.
  wapo wengi humu kama mchanga vile

   
 12. MAWANI

  MAWANI Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kamwambia JF ni ya Chadema? Mbona watu wanachangia kwa uhuru? Tatizo ni kuwa CCM hawataki kukubali kuwa wananchi wamewachoka. Kwa akili zangu, nawashangaa wale wanaoshabikia wizi, ufisadi, na unayanganyi wa mali za umma. Mimi mwenyewe ni mwanachama wa CCM lakini ninakerwa na matendo yao. Na kwa taarifa yenu, Wanaoiunga mkono CHADEMA siyo wanaCHADEMA tu, ni watanzania wenye uchungu na nchi hii inavyendeshwa kihuni. Mack Fish Anaweza kutwambia kwa mfano lile tangazo la Policy Forum kuhusu madini kwanini limepigwa marufuku TBC1?
   
 13. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,222
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani kuna kampeni ya uchaguzi wowote ule ambayo hauna rafu hata kidogo. Nadhani hata uchaguzi wa Pope wanatiana vijembe kidogo. CCM walianzisha kashfa dhidi ya Slaa ingawa zimegonga mwamba hata Usalama wa Taifa unakiri hili.
   
Loading...