Mwandishi wa BBC akamatwa kwa kuhoji shule kukosa vyoo Mwanza

Kuna mchangiaji wa JF alisema hapa kuwa watu wenye utamaduni wa kujisaidia vichakani hawafai kuwa viongozi kwani hawataona ukosefu wa vyoo kuwa ni tatizo. Kwa hiyo wanafunzi 3,680 kutokuwa na vyoo kwao siyo ishu na kama wana matundu ya vyoo 20 basi wameendelea! Kama kiongozi yuko nyuma kuliko anaowaongoza, uongozi wake hauwezi kuwa wa kuwapeleka mbele anaowaongoza bali utakuwa ni wa kuwarudisha nyuma.

Umenifurahisha kuimply kwamba mkuu wa mkoa ana utamaduni huo wa kujisaidia vichakani!
 
Shame on him,ila hw iz it going so far tupeane updates ths story ni aibu kubwa kwa watendaji wa SIRIKALI yetu,cz thy are mo worse than Kabwe walio wengi., KIDUMU CHAMA CHA MAFISADI
 
Tido alivyokuwa BBC aliwahi kutoa taarifa za uongo kumpendelea JK katika uchaguzi wa 2005, baada ya kupigwa chini na BBC JK akamzawadia ka-cheo pale TBC1. Yaani CCM wamezoea kusifiwa uongo hawapendi ukweli.
 
Ndio maana wakiambiwa Serikali ya Chadema itasomesha watoto bure na huduma za kisasa watapatiwa, uongozi wote wa juu wa CCM unapinga kwa nguvu zote kwa vile pamoja na wao kuwachangisha wazazi bado elimu ni mbovu na hata vyoo wanashindwa kujenga.
Kama kuna mtu anasema atatoa elimu bure na vyoo atajenga na mwingine anasema elimu lazima uchangie na vyoo sio muhimu hata porini kajisaidie na wote wanaomba kura yako, akili yako itabidi ichunguzwe kama huyo wa pili utampa kura yako.
 
Mnalalamika tuuuu tuuuu! Jua thamani ya kura yako, tambua haki yako, tumia kura yako kumweka madarakani mtu anayejali machungu yako. Chagua Dr. Slaa
 
Nadhani wote tunajua ni kwanini CCM wanafanya hivyo. Main principles za CCM ni
1. Make people Blind!! Not to see what is going on in this country
2. Provide Low quality Education to minimise challenges
3. Make many people poor so that they get used to the problems
4. Scare people so that they can still choose CCM
5. Always provide wrong information to people (since they are not educated or have low level of eduction will not ask any question)
6. Use "Usalama wa Taifa" to scare any one who question what CCM does
7. Kill any one who provides challenges openly (Kolimba, Kombe etc)
8. Make technology very low and in accessible (so that people do not access the truth like pictures of "Maisha bora thread")
9. Invest in visible items like Buildings (dispensaries, Classes) ignore quality
10. Put the system that favours CCM only not tanzanians. Eg President-CCM, All ministers-CCM, RC, DC -CCM, DED etc. they are all CCM so even if health is not good say Loliondo, Peopel's voices can not be heard.

and many more. So BBC journalist was violating one or more of CCM principles, they couls not lett hom go on telling the truth. Remeber the jourlaist who was killed in Bukoba in 1995 (If I'm not forgotten was for BBC). Providing the right information to tanzanians is a crime according to CCM.

CHAGUA SLAA, ELIMU BURE NA AFYA BURE INAWEZEKANA. WAFANYABIASHARA WAKUBWA, WABUNGE NA WENYE MIGODI WALIPE KODI KUBWA KULIKO WANANCHI WA KAWAIDA.
 
Chadema should petition Kabwe asiwe msimamizi wa uchaguzi Mwanza; kwani ameonyesha upendeleo kwa chama kimoja!!
 
Back
Top Bottom