Yah: Malipo ya salma yazua utata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yah: Malipo ya salma yazua utata

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAWANI, Sep 24, 2010.

 1. MAWANI

  MAWANI Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika gazeti la MwanaHALISI Uk. 2 imeonesha kuwa malipo yanayodaiwa kufanywa na CCM kwa serikali kutokana na kukodi ndege ya serikali kufanya kampeni yana warakini. ... kwenye hati ya madai ya tarehe 14 septemba 2010, ... imeonesha kuwa Kasma (vote) inayotawala fedha hizo ni no. 062 wakati voti hiyo haipo katika mwaka wa fedha wa 2010/2011.

  Kinachonishangaza mimi Binafsi ni kwamba tuliambiwa serikali haifanyi biashara. Sasa kazi ya kukodisha ndege siyo biashara? na kwanini yasitumiwe makampuni yanayofanya biashara ya kukodisha ndege? Je Serikali yetu ina ndege nying ambazo baadhi yake hazina shughuli za kufanya na badala yake zipo kwa ajili ya kusubili kukodishwa?

  This is very interesting. Halafu tunajua kuwa watu wanaobandua namba za magari na kuweka zao mara nyingi ni majambazi au polisi wa upelelezi; sasa Hiyo gari anayotumia Salma STK 6063 (T206 BJY) amapata kibari wapi? Karibuni janvini.
   

  Attached Files:

 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  ccm nao pia ni majambazi, hawa wafikishwe mahakamani jamani, hii ni jinai wizi wa mchana huu, tutaendelea kuibiwa mpaka lini?
  Tumchague dr slaa tafadhali
   
Loading...