Mbinu na uwezo wa Dr Slaa washuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu na uwezo wa Dr Slaa washuka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Sep 24, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Katika kuelekea uchaguzi wa October 31, Uwezo wa DR slaa kuimiri mikiki mikiki ya kampeni inapungua hii ni baada ya kukatisha kampeni zake JANa (23/09/2010) kurudi Dar kwa mapunziko

  Magazeti ya leo yamereport kuwa amakuja kwa kikao cha kamati kuu, Kwanini kamati kuu sasa wakati wa kampeni?

  Nina wasiwasi na Dr Slaa uenda kaishiwa HOJA
   
 2. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. MAWANI

  MAWANI Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtizamo wangu umetoa maoni yako. Kama imeripotiwa kuw amekuja kwenye kikao cha kamati kuu, wewe ukasema ameishiwa hoja, hapo tujadili nini? Tujadili kauli yako au taarifa sahihi kutoka CHADEMA?
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Ni haki yako ya kikatiba kuendelea kuwa na wasiwasi mkuu.
  hongera
   
 5. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna siku ulikubali kuwa uwezo wa Dr. Slaa uko juu? Au unafikiri anaanguka anguka. Umesha-quote magazeti tayari kuwa amekuja kwa ajili kikao cha kamati kuu, sasa nini cha ziada? wewe ndio mpangaji wa vikao vya kamati kuu vya chadema? Shame on you
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  To say this you need to be very genius otherwise you might go mad..
  Wewe unaakili sana..........ni kweli amechoka sana na afya yake ni mgogoro na hafai kuwa rais wetu na ndiyo maana anaanguka hovyo majukwaani...........ccm hoyeeeee
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Crap!
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sasa hivi hatujibu ukiweka mada mbofu mbofu tutakuangalia tu ukiharibu za wenzako unakuwa banned au ignore
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Anahitajika Sheikh Yahaya amuongezee ulinzi Kikwete
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  SHY umeongoka lini mkuu?
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nadhani wewe ndo umeishiwa HOJA
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hujamwambia kuwa analopoka pia majukwaani na ahadi za UONGO,alianguka jangwani,nje ya nchi na sehemu zingine wameficha au sio?Kapumzike baba Kikwete...hivi tunaongelea nani vile?
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Jeykeywaukweli!
   
 14. A

  Andrew Rweikiza New Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarehe 23/06/2010? Kweli JK anaumwa. Mbona tarehe hiyo kampeni zilikuwa hazijaanza?
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Acha wachague rais mdhaifu mgonjwa..............
   
 16. e

  emalau JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  ha ha ha ha ha hawa ni wana JF wapya waliojiunga baada ya Raia mwema kutoa takwimu, ha ha ha - you can make fool some people for some time but you can not fool them all the time
   
 17. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WE endelea kucheka wenzako ndo tunakula
   
 18. A

  Awo JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Umeshapiga kura kule kwenye kura ya maoni ya JF? Lazima umeshapiga maana ndio kilichokuingiza humu. Hongera!
   
 19. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hamjamshtukia huyu kaja kutafuta habari kuwa kuna nini kwenye kikao cha kamati kuu.
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hawa watoto wanaokua kwa kasi humu JF nahisi mbegu zilichakachuliwa UCHINA
   
Loading...