Recent content by mauRT

  1. mauRT

    JamiiForums Tanzania Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Ebu sema " define physics" kwa kiswahili Tuanzie hapo kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mauRT

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wamachinga wameboreshewa vitambulisho vyao lakini huku bara wanafukuzwa

    Komaeni mtatoboa. Sisi huku wala murua kabisa. Tatizo bara kinawaua kiki
  3. mauRT

    JamiiForums Tanzania JATU PLC ipo kwenye soko la hisa?

    Bonge la point this guy ameleta kwa meza Very good
  4. mauRT

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Unajuwa tz kuna vitu bado hatujajuwa nini tufanye. Nilikuwa kenya 2017 hawana kujiunga, ukiweka salio say 500ksh wewe unapiga tu. Nilikuwa nikitumia 1000kdh per mana nilikuwa nikijiachia sana. Badae mtu mmoja mwenyeji aliniambia, prepaid inaumiza do either of the two. 1. Seek post paid service...
  5. mauRT

    JamiiForums Tanzania Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

    Unajuwa lazima uwe na facts unapoongea mambo haya publicly. Of course mi nitasema yeah to some extent yes kwamba kuna changes toffauti na hapo awali, say mimi nimeenda znz 2016 haikuwa kama ilivyo sasa. Lakini haijafika level hiyo kama jamaa kaizungumzia. Kwanza ukabaji znz very little, pili znz...
  6. mauRT

    JamiiForums Tanzania Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

    Bro mbona hueleweki Nini kipya, sisi tunaishi Zanzibar mwaka wa 7 sasa Au wewe umeenda chimbo gani mana hata point zako hazina mshiko
  7. mauRT

    JamiiForums Tanzania Fahamu majina ya magari ya Toyota na maana zake

    Guru Nimeelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mauRT

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

    MauRT Testing
  9. mauRT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya tuyasikie kwa watu tu. Wanawake wa kihaya mmenishinda tabia naapa sitokaa nihusiane na binti kutoka hii pande

    Braza ushawahi kuwa nao wangapi.... Mbona unamdhalilidha pasipo proof. After All judgement yako umeifanya baada ya kuwa nao wangapi wa kihaya, na ukilinganisha na Pandey zingine Usitudhalilishe tuliooa huko braza
  10. mauRT

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atunikiwa tuzo ya Uongozi uliotukuka na Kanisa la Philadelphia Gospel Assembly

    Kasome kitabu cha mengi utaelewa I can I will I must.... Utaelewa concept nzima ya swam ya V
  11. mauRT

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Kodi ni somo pana sana kiasi ambacho, mwananchi wa kawaida hawezi kuelewa na ndio maana kuna wataalam wa mambo yahusuyo kodi. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu wanaperceive kuwa ndani ya kodi kuna mirage ya siasa ndani yake hivo wananchi wanatatizwa. But ni suala la elimu tu na kuportray...
  12. mauRT

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

    RIP Alikuwa mbunge wangu enzi hizo...
  13. mauRT

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini 90% ya waumini wa haya makanisa ya kiroho ni wanawake?

    Umeongea point as if ulikuwa kichwani mwangu pia. Great idea Lakini pia nyakati hizi ni nyakati za Neema nyingi. Kuongezeka kwa wahubiri, manabii na mitume si ukengeufu bali ni nyakati. Kumbuka Elia alipoenda Sarepta, alienda kwa mama mjane, hivyo kuna nafasi ya wanawake katika imani
  14. mauRT

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    Attachments
  15. mauRT

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Kuba mdogo wangu ako na diploma in electrical engineering ya dit Anataka asome real estate and finance pale ardhi Atakubaliwa
Back
Top Bottom