Ardhi University(ARU) - Special Thread


Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
512
Likes
253
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
512 253 80
hivi mfano ukiwa na kijana kamaliza kidato cha nne na kafaulu masomo yote ya arts naweza kumleta hapo?
Zipo kozi za muda mfupi, mathalan, zile ya GIS zinaweza kumfaa kwa kuanzia.
 
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
1,584
Likes
800
Points
280
fogoh2

fogoh2

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
1,584 800 280
hahahahahaahahah,,, mkuu, hata kama ni ukweli,umeusema directly sana!!! Daah,, yani umemkata huyu dogo maini kweli kweli,,, inawezekani mimi nilikua mmoja wa wanafunzi wako mwalimu, kwasababu nimemaliza ardhi university - bachelor of architecture few yearz back,.. Heshma mbele mwalimu!!!
Unaitwa nani ni PM
 
Samhoodsam

Samhoodsam

Member
Joined
Sep 24, 2015
Messages
34
Likes
6
Points
15
Samhoodsam

Samhoodsam

Member
Joined Sep 24, 2015
34 6 15
Naomba kujua kama kuna mtu wa diploma aliye chaguliwa kwenye chuo hiki kwa ngazi ya degree!!!!
 
James Ashabu

James Ashabu

Member
Joined
Oct 12, 2015
Messages
14
Likes
0
Points
3
James Ashabu

James Ashabu

Member
Joined Oct 12, 2015
14 0 3
mimi ni mhadhiri ARU hufai hata kujiunga na chuo cha ardhi Tabora ambapo tunatoa diploma. Labda kama una interest na ardhi uombe Certificate Morogoro.
Aaah mkuu.. be polite bana but haezi soma ardhi university (ARU) ila chuo cha tabora (ARITA) wanatoa kuanzia certificate anaweza akasoma pale certificate then diploma
 
Ibrahim Mnara

Ibrahim Mnara

Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
5
Likes
0
Points
3
Ibrahim Mnara

Ibrahim Mnara

Member
Joined Jan 26, 2018
5 0 3
Wakuu naomba kuuliza kwa wale wanafunz wa f 4 waliomaliza shule za ufund na kuweza kufaulu mitihan yao je wanaweza kujiunga na ardh university kwa levl ya deploma
 
Rdj Shibo

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Messages
37
Likes
3
Points
15
Rdj Shibo

Rdj Shibo

Member
Joined Jan 5, 2018
37 3 15
nahitaji kusomea ardhi course yeyote lkn naomb mxaada wa vigezo vya masomo mm ni muhitimu wa kidato cha nne
 
mauRT

mauRT

Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
57
Likes
20
Points
15
Age
42
mauRT

mauRT

Member
Joined Mar 7, 2017
57 20 15
Kuba mdogo wangu ako na diploma in electrical engineering ya dit
Anataka asome real estate and finance pale ardhi
Atakubaliwa
 
Chiwaso

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
4,991
Likes
2,710
Points
280
Chiwaso

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
4,991 2,710 280
Hazijai kwenye nini!?

NB: Criteria for entry is high than any other university in TZ,
May be,nakumbuka nili-apply hapo in 1993 nikiwa na Div 1 ya PCM na bado nikakosa. Nilisikitika sana, it was my favorite College by that time. All in all, maisha yanasonga.
 
Chiwaso

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
4,991
Likes
2,710
Points
280
Chiwaso

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
4,991 2,710 280
Chuo Ardhi ni moja kati ya vyuo vyenye course nzuri ambazo ni marketable ila fahamu tu ni miaka minne mpaka mitano uko darasani, course za miaka 3 zipo tatu tu, BSc. Economics, BSc Community Development ,,,,,,,,

Kwahiyo ni kusoma kwa kwenda mbele. Muda mwingi utakuta vijana wako madarasani mpaka usiku wa manane wakichora na wakati mwingine asubuhi inakukuta darasani.

Vijana wengi wamekuwa wakifanikiwa sana, hakuna anayekosa kazi, labda uwe umefeli na hukumaliza course yako. Ukadisco.

Karibuni sana
THis Dunia is not fair kwa kweli.
Best student in Technical Drawing, na scorer of Div I ya Pcm, eti leo yuko mtaani anabangaiza. Very touching.
 
joe_dan

joe_dan

Member
Joined
May 26, 2018
Messages
5
Likes
2
Points
5
joe_dan

joe_dan

Member
Joined May 26, 2018
5 2 5
Environmental engineer ya Ardhi ni bora zaidi! Nafkria kujiunga apo, nmemaliza form six na nmefaulu vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,235,122
Members 474,351
Posts 29,212,650