Yani we kufika robo fainali mara tano unachukulia poa sana,,, acha hizo mambo bana.. Mo hana shida ila kuna wazee wa simba pale ndio wanataka kula hela tu,, walifanya figisu hafi Babra akatoka kisa alikua anasimamia vizur mpunga wa MO,,
Sasa kama kitabu kimeandikwa na BILLGATE, Au Reginard Mengi(RIP). ELLON MASK, Giyo ni mifano tu ya baadhi ya watu matajiri na wakaandika vitabu ili watu tupate maarifa, matajiri wengi siri za mafanikio yao wameweka kwenye vitabu trust me.... nenda kasome kitabu kinaitwa "WHY WE WANT YOU TO BE...
Nenda kalume pale asubuhi sana,, mida ya saa kumi hivi,, nunua viatu vya mtumba vya watoto na watu wazima tafuta ratiba za magulia hukohuko unapoishi nenda kawauzie,,, lakn kabla ya yote fanya research kwanza kwenye minada raba gani wanapendelea kuvaa, hii itakuraisishia kununua raba kulingana...
Wakuu habari za muda huu, kwanza poleni sana na majukumu binafsi sio mwandishi mzuri saana lakini ntajitahidi kafli niwezavyo kuwakilisha ujumbe huu.
Wiki iliyopita nilikua mkoani Tabora kuna mitikasi fulani nilikua nafanya ili mkono uende kinywani, wakati nimefika tu siku ya kwanza nimeamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.