whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,197
- 2,567
mwanaume unaanzaje kujikwaa kisa mademu kuanguaIle unatembea sehemu alafu unakuta kilinge Cha wanawake wamekaa wengiii,, wanapiga story wakikuona tu wananyamaza alafu ukipita kwa mbele kidogo tu wanaangua kicheko haaaaaaaaaaaa.
yesu na maria kama ni parefu mpaka upate Kona unaweza kuanguka kabisa,
Mbaya zaidi iwe kuna mmoja wapo ambaye umewahi kumtongoza akakataa ujue kimeumana.
hapo inabidi ujilipue kweli kupita bila hivyo kazi ipo, mi mara nyingi sana hua nabadili njia chap naenda kutokea upande wa pili.
Nimewahi kujikwaa kisa mambo hayohayo
.
kicheko baada ya wewe kupita
we vipi bhana