Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hizi movie nilitzama zamani pale Mgomeni Kagera chini kidogo ya gereji ya Bihonyi kuna kibanda Cha maziwa Halisi. Ktk kile kibonde kama unashuka kwenda shule ya mianzini pale kushoto. Halafu na pale shule ya msingi miazini mwisho wa ukuta kuna nyumba ilikuwa na babu kama anamatatizo ya akili pale kulikuwa na jumba la video...those were the days
Memory nzuri sana ilikuwa miaka gani hiyo?
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Umeniona Balkan line mzee au unaongea tu😀
 
Back
Top Bottom