hivi wanajua madhara ya kumpiga mtu kichwani? kichwa ndo kila kitu kwenye mwili wa binadamu, hivi huko vyuoni hawafundishwi anatomy and physiology, au hizo kozi ni kwa walimu wa biology only! hata hii chapa chapa watoto wa watu ifike mahali iishe!
hivi huyu Wema ana hata kiwanja? anamwaga hela kwa masuper star bila hata kufikiria badala afanye kitu cha maana misifa imemjaa! babake diamond yeye inamhusu nini? hapo sasa ni kuingilia familia ya watu. katika familia yake hakuna mtu anayehitaji msaada kweli? i
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.