hapana mim sina shida ya mume,ila lzm niseme ukweli ni dhambi san Kubaguana na wajua vzr,nakumbuk nilipo kuwa chuo nilikuja kuomba fld sehem ambayo wasabato ndo wana ofis yao wakaniambia km sio msabato uwez kupata nafas ya kufanya kazi hapa au ukitaka tukubatize upya na uwache kuvaa heren,nikaja tena kwa walokole wakanitenga nisiolewe n kijana wao kisa sisali dhehebu lao nia yao waoane wenye kwa wenyew mchungaji ana mwambia kijan kwann utoke nje wakati kuna mabint humu wamo humu wahajaolewa,so nyiny nawajua vzr sana huwa na waangaliaga tu,ila mungu ni mmoja tu na mke mwem hutoka kwa mungu sio jf,wal popote,kazan maombi mungu atakupa,ila huwa sina hamu na nyie..