yokohama yokozuna
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 322
- 115
Mama humu humpati mtu labda ubandike bango njiani.
Kwani imeshindikana kupata mchumba hadi ujitangaze.Ukoo wenu hawapo watu kama mashangazi,wajomba mashemeji n.k.?
Mama humu humpati mtu labda ubandike bango njiani.
Nimepungukiwa sifa moja ya kabila, hizo nyingine ninazo,ni halali nikukose kisa simo kwenye hayo makabila?
hujapata tu ? kuwa makini lakiniMMMh! Nashukuru kuwa interested ila nahisi naelekea kwenye final ya kumpata,,so nataka niwape nafasi walio wahi! asante
MMMh! Nashukuru kuwa interested ila nahisi naelekea kwenye final ya kumpata,,so nataka niwape nafasi walio wahi! asante
Inawezekana sana wanaume wa aina hiyo wakawepo tena wengi tu ila na wana aina ya wanawake ambao wanawapenda na wewe usiwe mmojawapo kati ya hao. 'Perfecrt patnership is a compromise"Are trying to tell me there is no a single man from 30 and above, with job, a Christianity (Lutheran- KKKT) ,from kagera, msoma, mwanza, mara, mwembamba , mrefu kiasi,,mpole,,???education -degree level????
haya maombi ungeyabandika kwenye mbao za matangazo halmashauri ya mara/musoma/tarime/bukoba usipotezeee watanzania muda

Haya kila la heri dadaMimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).
Usijali mapenzi tutafundishana kwenye ndoa (yaani ujuzi), uwe mrefu mwembamba, uwe na kazi nzuri (coz na mimi nina kazi nzuri) na ni mwembamba pia. Kabila utoke ndani haya matatu- msukuma, mhaya, na mkurya (mimi mhaya).
Elimu uwe na degree, usiwe na mtoto au ulishawahi kumpa mimba mdada yeyote akatoa (sitaki laana mimi, nataka kitu fresh kama mimi ingawa kufanya nilishafanya yaani ku do).
Nitakuheshimu na kukupenda kwa dhati kama utakuwa serious. Kama mzungu pia unakaribishwa ila sio mhindi au mchina.
Kama utakuwa interested ni-pm.
Hahahahah vipi umeshapata??Hakuna aliyenichezea ila mm ndie sipendi kuolewa na mtu asiekuwa chaguo langu kutoka moyoni,,,coz kama weye sifa za kawaida km ww nimekutana nao wengi na husband material ,,sema sipo tayar,,sijataka kuongeza namba ya mahusiano ndo maana nkaandika iyo only two men.
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya dini), mpole ( Kuna wanaume wanaoogopapa kuwatongoza wanawake type kama hizo ndo nataka).