Nimemuacha mpenzi baada ya kushindwa kunizalia

Huyo binti ana miaka mingapi?? Miaka 30 sio mchezo. Muache mtoto asome ukitaka mtoto tafuta msichana mwingine
 
Mambo vipi wadau,

Naomba nielekee moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ni kwamba nimedumu katika uhusiano na mpenzi wangu takribani 3 years. Niseme ukweli katika mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kudumu muda mrefu kiasi hicho, kwahiyo inamaana nilimpenda sana tena zaidi ya sana.

Yeye pia hakuwa nyuma kunionesha upendo wa dhati. Nakiri wazi alinipenda pia sana, japo matatizo madogo madogo katika uhusiano huwa hayakosi. Nasikitika kuanzia leo sitoshiriki nae baadhi ya vitu kama hapo zamani.

Niende kwenye inshu yenyewe ambayo imenifanya nimuache huyu mlimbwende wangu. Ni kwamba mimi katika mahusiano yetu nilikuwa nasisitiza sana juu ya kupata mtoto. Napenda mtoto, napenda niitwe baba.

Ikumbukwe huyu manzi alikuwa anasoma na hapa juzi ndo kamaliza form six na tuliahidiana nimsubiri mpaka amalize six then taratibu za kupata mtoto zianze. Lakini leo hii nimegeukwa, nimekuwa nikimkumbusha juu ya ahadi yetu lakini ananizungusha tu mpaka nilipombana na kutaka kujua iwapo atanizalia au hawezi.

Nasikitika alinijibu kuwa anaogopa sasa hivi kuzaa hivyo nimvumilie eti mpaka amalize chuo. Nimeumia sana, sio siri nilijihsi vibaya sana. Kwanini hakuniambia siku zote kwamba hawezi kunizalia basi nikae najua kuliko kunidanganya hivyo?

Nimemuacha,na maisha yake japo amelia sana juu ya kuvunjika kwa uhusiano wetu lakini siwezi kurudi nyuma tena.

Kwaheri mama kwaheri!
Unaabudu usemi wa 'SHAKE WELL BEFORE USE'?

Kama ni hivyo sikulaumu.
 
Kwa kichwa chako tu cha uzi wako, umeniboa sana. Umefanya jambo ambalo utajiju... Nenda ukazaliwe huko, vizuri umemuacha na Mungu atambariki ampate anayempenda kwa dhati wavumiliane na wazae watoto wao tena wazuri kuliko utakaozaa wewe kama ukibarikiwa.
Hahaha nimecheka kama mazuri
 
kamaliza form six unataka azae?. mwache dada wa watu asome atafute maisha, she is too young kuanza kuwa mama wa nyumbani. some men!
 
Yaani mambo mengine ni ya kujiongeza, kwa hiyo ulitaka umpachike kabla hata hajamaliza six? Duh! Hebu muache Mtoto wa watu asome usije mharibia maisha Bure!
 
mwache aende,mna roho mbaya sana ninyi wanaume.kwahilo hujamkomoa bali umemkomboa.
 
Mambo vipi wadau,

Naomba nielekee moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ni kwamba nimedumu katika uhusiano na mpenzi wangu takribani 3 years. Niseme ukweli katika mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kudumu muda mrefu kiasi hicho, kwahiyo inamaana nilimpenda sana tena zaidi ya sana.

Yeye pia hakuwa nyuma kunionesha upendo wa dhati. Nakiri wazi alinipenda pia sana, japo matatizo madogo madogo katika uhusiano huwa hayakosi. Nasikitika kuanzia leo sitoshiriki nae baadhi ya vitu kama hapo zamani.

Niende kwenye inshu yenyewe ambayo imenifanya nimuache huyu mlimbwende wangu. Ni kwamba mimi katika mahusiano yetu nilikuwa nasisitiza sana juu ya kupata mtoto. Napenda mtoto, napenda niitwe baba.

Ikumbukwe huyu manzi alikuwa anasoma na hapa juzi ndo kamaliza form six na tuliahidiana nimsubiri mpaka amalize six then taratibu za kupata mtoto zianze. Lakini leo hii nimegeukwa, nimekuwa nikimkumbusha juu ya ahadi yetu lakini ananizungusha tu mpaka nilipombana na kutaka kujua iwapo atanizalia au hawezi.

Nasikitika alinijibu kuwa anaogopa sasa hivi kuzaa hivyo nimvumilie eti mpaka amalize chuo. Nimeumia sana, sio siri nilijihsi vibaya sana. Kwanini hakuniambia siku zote kwamba hawezi kunizalia basi nikae najua kuliko kunidanganya hivyo?

Nimemuacha,na maisha yake japo amelia sana juu ya kuvunjika kwa uhusiano wetu lakini siwezi kurudi nyuma tena.

Kwaheri mama kwaheri!
mkuu una uhakika kama wewe c tasa?
 
mmmh!!!!! ananzaje labda kukizalia????? umemuoa??. afu pia bado mwanafunzi, azae ili iweje! nampongeza huyo x wako kwa kujielewa.
 
Mfanya biashara mkubwa, sili kwetu, sitegemei cha mtu, wazazi wangu Wana uwezo nashukuru mungu kwa kunijaria pesa nikiwa na umri mdogo, kila kitu napata' kwa hilo Namshukuru pia, kitu nilichohitaji Ili kuongeza furaha yangu ni mtoto pekee ,, nawashukuruni wote kwa maneno yenu ya busara na wengne kwa matusi pia asanteni... Kila mmoja anaishi maisha ambayo anaona yanamfaa mwenyewe , Kama wewe ulizaa ukiwa na miaka 40,, ustake na mimi niwe hivyo .... Nawapenda wote
Sa si uoe? Taahira wa kwanza wewe unataka mtoto si uoe? Unataka umzalishe binti wa watu abaki single mother? Unajisifu maisha mazuri yap hata kuandika hujui?
 
Mambo vipi wadau,

Naomba nielekee moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ni kwamba nimedumu katika uhusiano na mpenzi wangu takribani 3 years. Niseme ukweli katika mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kudumu muda mrefu kiasi hicho, kwahiyo inamaana nilimpenda sana tena zaidi ya sana.

Yeye pia hakuwa nyuma kunionesha upendo wa dhati. Nakiri wazi alinipenda pia sana, japo matatizo madogo madogo katika uhusiano huwa hayakosi. Nasikitika kuanzia leo sitoshiriki nae baadhi ya vitu kama hapo zamani.

Niende kwenye inshu yenyewe ambayo imenifanya nimuache huyu mlimbwende wangu. Ni kwamba mimi katika mahusiano yetu nilikuwa nasisitiza sana juu ya kupata mtoto. Napenda mtoto, napenda niitwe baba.

Ikumbukwe huyu manzi alikuwa anasoma na hapa juzi ndo kamaliza form six na tuliahidiana nimsubiri mpaka amalize six then taratibu za kupata mtoto zianze. Lakini leo hii nimegeukwa, nimekuwa nikimkumbusha juu ya ahadi yetu lakini ananizungusha tu mpaka nilipombana na kutaka kujua iwapo atanizalia au hawezi.

Nasikitika alinijibu kuwa anaogopa sasa hivi kuzaa hivyo nimvumilie eti mpaka amalize chuo. Nimeumia sana, sio siri nilijihsi vibaya sana. Kwanini hakuniambia siku zote kwamba hawezi kunizalia basi nikae najua kuliko kunidanganya hivyo?

Nimemuacha,na maisha yake japo amelia sana juu ya kuvunjika kwa uhusiano wetu lakini siwezi kurudi nyuma tena.

Kwaheri mama kwaheri!
Kwa maelezo yako wewe ndio umeshindwa kumzalisha ukapime
 
Huyo demu anaakili sana. Yaani amalize shule halafu maisha ya ndoa yaanze. Ingekuwa wengine tayari 15 millions, 12 bakora na 30 year sentenced.
 
Back
Top Bottom