Recent content by Mathika

  1. M

    Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

    Aongezee na walawi 18:15-23 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Nifanye nini kuepuka tatizo la kutokujiamini na kushindwa kujieleza mbele za watu

    Uwe unawaface hao unaoongea nao ila jitahidi usikutanishe macho nao ila uwe unawaangalia kwy paji la uso mie nimefaulu kwa kufanya hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ni maneno gani matamu uliwahi kuambiwa na X wako kabla hamjabreak ambayo ukiyakumbuka leo unanihisi kummiss?

    Aliniambia hatoniacha tutaoana ila alibreak promise, nilimuombea afukuzwe kazi kweli ilitimia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Nifanye nini kuepuka tatizo la kutokujiamini na kushindwa kujieleza mbele za watu

    Usiwe unawaangalia machoni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Nimesoma computer science, nimefundisha physics na math kwa miaka 7 natafuta kazi

    Kwahiyo ulivyopata wewe kazi serikalini wengine ukawaona vilaza? Aliyekupa wewe ndio kawanyima wengine, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Unawezaje kujua mwanamke aliezaa ( mwenye mtoto)

    Usichunguze sana sasa hivi tumepunguza vigezo tunatafuta mwanamke ambaye angalau ana katoto kamoja tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Mke kutoka kwa bwana anakujaje?

    Asante kwa comment nzr Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Unawezaje kujua mwanamke aliezaa ( mwenye mtoto)

    K is like a plastic huwezi gundua chochote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Hospitali gani Dar wana-check na kutibu tatizo la Uzazi?

    Muwe mnawaumbua watu waongo kama hawa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

    Wewe ulipatikanaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    nimemaliza form 4 majibu yanetoka nina marks km ifuatavyo je unanishauri nini

    Kasomee kiswahili Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

    Umeongea point sana, kila mtu awe vile anavyotaka kama wewe graduate unafanya shughuli fulani sio lzm wote tufanye hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Tahadhari: Lifts(Elevators) zinaweza kuua!

    Ila ulifaidi aiseh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Natafuta binti wa kuzaa nae

    Hakuna wenye kiwanda cha kutoa watoto Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

    Humu jf hakuna wa kukushauri mtoe mimba wewe subiri mtoto ulee na Mme mwenzako msaidiane Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom