Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,888
HahahYaani pamoja na matukio yote ya watu kuf**** na kulishwa madushe watu hamuachi kutembea na wake za watu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
HahahYaani pamoja na matukio yote ya watu kuf**** na kulishwa madushe watu hamuachi kutembea na wake za watu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hataepusha maana unalomtendea mwenzako ndilo utakalotendewa na kipimo kile kile upimacho ndicho utakachopimiwa...likitokea kubaliana na hali tu maana hakuna namnaNaomba sana MUNGU aepushe hilo mkuu.
Ijumaa Ya Kisoma
Wewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake

KweliYani kumpa mke wa mtu mimba unapata kihoro namna hiyo? Mwambie ampe mmewe ale ili ww usihusike. Akigoma basi mruke mita 800.
jifunze kutumia akili, kuna mdau hapo juu kakushauri vizuri sanaKwanza kabisa jamani nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.
Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.
Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.
Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.
Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.
Msaada wenu tafadhali wakuu.
Ahsanteni sana.
Aise una hitaji sana muda wa kujifunzaWewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake
Hahaha Pitia hapa Malaika Dodoma unywe bia mkuu...... ushaur mzur sanaWewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake
Umempatia jinga kabisa hiliWewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake
Humu jf hakuna wa kukushauri mtoe mimba wewe subiri mtoto ulee na Mme mwenzako msaidianeMkuu punguza ukali wa maneno aisee.
Sijajua kweli kama ni yangu au sio yangu ila kwa maelezo yake anasema ni yangu mkuu.
Na ndio maana nikaleta jamvini hapa ili nipate mawazo yenu wakuu. Msinishambulie bwana angalieni njia sahihi ya kunisaidia kwa huu mtihani wakuu.
Sasa kwa nini aseme tukaitoe kama ni ya mume wake mkuu...?
Anataka ela ya kutolea tuu,Mkuu punguza ukali wa maneno aisee.