nimemaliza form 4 majibu yanetoka nina marks km ifuatavyo je unanishauri nini

Ana C moja (nikiweka kando Bible Knowledge) na D tatu. Hivyo unaweza kuangalia course za NACTE au VETA uamue kipi kinakupendeza uombe.
 
Mdogo wangu umefaulu vizuri sana. Ki msingi mtu unatakiwa kuwa na pass 4 za olevel ili uendelee na masomo na ww pia una pass 4 excluding Bible Knowledge.

Hivyo basi usijisikie mnyonge. Unaweza soma course zaidi ya 20 za Certificate isopokuwa za Engineering na Afya na kilimo.

Unaweza soma karibia course zZote business
Certificate hadi chuo kikuu

Unachohitaji ni kuwa na Nia tu. Pia kama una familia ambayo inaweza kukusomesha basi fanya hivyo
 
Positive man, hongera sana mkuu
 
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitoto vingi sana jf ndio maana kumbe unaweza ukajikuta unabishana na mtu kumbe katoto.
 
Wewe unanishauri nisome course gani chuo
Mdogo wangu umefaulu vizuri sana. Ki msingi mtu unatakiwa kuwa na pass 4 za olevel ili uendelee na masomo na ww pia una pass 4 excluding Bible Knowledge.

Hivyo basi usijisikie mnyonge. Unaweza soma course zaidi ya 20 za Certificate isopokuwa za Engineering na Afya na kilimo.

Unaweza soma karibia course zZote business
Certificate hadi chuo kikuu

Unachohitaji ni kuwa na Nia tu. Pia kama una familia ambayo inaweza kukusomesha basi fanya hivyo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom