Hospitali gani Dar wana-check na kutibu tatizo la Uzazi?


otsward

otsward

Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
75
Likes
27
Points
25
otsward

otsward

Member
Joined Jan 14, 2018
75 27 25
Habari,

Mimi na mke wangu hatujabahatika kupata mtoto, wala dalili ya ujauzito na hatuji shida ipo kwa nani na ni shida gani? Tumekubaliana mwezi huu tutafute suluhisho, ni wapi nitapata hospitali ya ku-check kujua tatizo na suluhisho?
Hospitali nying sana ww, muone gynecologist.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,392
Members 485,568
Posts 30,121,841