Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Jamani msaada wa ushauri,nimelala na mme wa dada yangu

Mnaisha Lodge?? Au chumba chako kina Lift inayokushusha Lodge?
 
Afadhali wanaotanguliza kuandika HADITHI hapo unajua tu ni ya kutunga au Based on true story
Lakini mtu anaekuja na story akijifanya yeye ndio limemtokea wakati ana threads zingine za uongo, huwa najiuliza wakoje hawa watu katika Real life zao
I mean ni waongo sana au ni very funny people

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Acha kujiaribia mission yako kwa kutuambia, endelea kulala naye kimyakimya mkifumaniwa ndiyo mpange jinsi ya kutatua tatizo.
 
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Usijali shemeji atakupa huo mtaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewesi malaya..? Hamna kosa..
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijifanye we mtakatifu sana ati haujui kudanganya maana usikute hata hapa unatudanganya
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Ni jana hiyo dada kasafiri mme wake kaja kanishawishi sana , bahati mbaya nikapewa kilevi tukafanya, mbaya zaidi rafiki yake dada katuona lodge ,

Nifanyeje jamani yan dada ana mpango wa kunisaidia mtaji mimi,

Naomba akili ya kumjibu naomba ushauri wenu jinsi ya kumdanganya
Unataka usaidiwe kwenye uzinzi na uasherati?
 
Ulishindwa kuipeperusha bendera yetu kimataifa huko Ulaya sasa unakuja na kilio kuwa umeliwa na shemeji yako.

1. (a) uliendaje lodge?
. (b) alikupa kilevi gani mpaka ukatoa mzigo?
2. Coming soon

All in all nahisi yule ex uliyemtosa kwa sababu unaenda kuipeperusha our flag mamtoni anakucheka tu.
 
Back
Top Bottom