Msaidie kijanaUnaweza programming hasa java script nikupe kazi ya kunifundisha nikulipe
Si ndo nimesema kama anajua nimpe kazi hio. Msaasa gani mwingine mkuu
mtoa mada vigulo ingia inbox kwa ze farmer yupo na ajiraSi ndo nimesema kama anajua nimpe kazi hio. Msaasa gani mwingine mkuu
Ni pm mkuu kuna jamaa alikua anatafuta mtu mwenye sifa zakoHapana. Kwa sasa nimejikita kwenye GRAPHICS hasa Matangazo ( audio, video n.k). May be nikuunganishe ya mtu anayefundisha JAVA SCRIPT
aiseeCOMPUTER DESIGN
Ni vizuri umekuwa muwazi ili kama umesoma Computer Science halafu Java script huwezi fundisha basi wewe Tatizo,tatizo sio ajiraHapana. Kwa sasa nimejikita kwenye GRAPHICS hasa Matangazo ( audio, video n.k). May be nikuunganishe ya mtu anayefundisha JAVA SCRIPT
yaani nastaajabu hapa , sipati jibuNi vizuri umekuwa muwazi ili kama umesoma Computer Science halafu Java script huwezi fundisha basi wewe Tatizo,tatizo sio ajira
Na hili ni tatzio la wahitimu wengi sana,hasa wa IFM sijui kwa nini angalau wa UDSM hawa wana Majivuno kidogo na kuitahidi kujifunza.Hili ni tatizo kubwa sana kwa elimu yetuyaani nastaajabu hapa , sipati jibu
Kwahiyo ulivyopata wewe kazi serikalini wengine ukawaona vilaza? Aliyekupa wewe ndio kawanyima wengine,Umemamaliza mwaka gani na level gani( bachelor au diploma). Hii fani Ni practical oriented Kama unaijua haswa huwezi sugua miaka7, mm nimehitimu computer engineering and information security mwaka 2015 mwaka uliofuatia nikalamba ajira serikali, nimefanya interview na watu bachelor holder wanajua theory zaidi ya practical.
Ukiwa compitent kwenye hii hata Kama usipoajiriwa hukosi Cha kufanya
Kwahiyo ulivyopata wewe kazi serikalini wengine ukawaona vilaza? Aliyekupa wewe ndio kawanyima wengine,
Sent using Jamii Forums mobile app