Recent content by Mathematic

  1. M

    Shukuru Kawambwa: Mawaziri wasitokane na wabunge bali watoke nje ya Bunge

    Watakuwa tofauti mkuu,maana wao watakuwa mawaziri na hao wengine watabakia kuwa makatibu. Hizo ni post mbili tofauti zenye job description tofauti.
  2. M

    Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

    Kakosea wapi mkuu kwenye hio highlight yako?
  3. M

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    The solution here is if the allegations are true,just to give the said Kamili the amount of cash she is demanding. This will make Dr Slaa and his Josephine free from this stupid nonsense....!
  4. M

    Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Kama ni kweli kuna kosa la kiufundi lililofanyika ktk kugawanya hayo matokeo kama mwanzisha thread anavyosema,huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa baraza ambao hufanyika kwa mwanafunzi yoyote yule na wala usionekane kuwa ni special kwa kuwa umewagusa waislam kama thread yenyewe inavyoonekana...
  5. M

    CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

    Nadhani unaweza kupata picha ya upeo wa viongozi wateuliwa wa JK,...huyo ndo alikuwa DC wa wilaya fulani na utendaji ulikuwa kama hivyo. Hajui mipaka yake wala job descriptions za post yake. Hajui kama yeye na Mnyika ni sawa, tunasubiri Mnyika nae aende kukagua miradi ya serikali na kutoa amri...
  6. M

    Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

    Days are numbered huyo dogo anajifanya hii nchi ni yakwao, siku siyo nyingi yatamkuta kama yaliyomkuta mtoto wa mzee mzima wa Africa Gaddaffi
  7. M

    M pesa mbona unwadanganya wateja wenu?

    sidhani kama thread yako ni muafaka ktk jamvi hili. tafuta jamvi muafaka...
  8. M

    Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

    du kaaaazi kweli kweli,arusha pia umekatika. alie na mawasiliano na ile mikoa ya kiswahili lindi,mtwara,tanga pwani atujuze maana huko ndo ngome ya magamba sidhani kama wataweza wakatia na kura zote walizowapa. maana wadau niloona wanalala mika giza ni toka arusha,dar,mwanza. pia tunahitaja...
  9. M

    Katibu mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Mwanga anashikiliwa na polisi

    All in all,tunategemea kusikia kitakachojili toka kwako atakaporudi kuripoti hapo police hio saa nane, japo bado kuna mambo mengi tu ya kujiuliza maana kama polisi wanamhoji kujua kuhusu kilichoongelewa kwanye mkutano wa hadhara wakati mpaka mkutano ukafanyika inamaana walitoa kibali na hivyo...
  10. M

    NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

    ni mpaka pale itakapothibitika kuwa imeishiwa risasi BUT kama tunachukulia for granted kuwa haina risasi,kwa nini kupanda nayo jukwaani basi. kumbe ni kutishia basi. So suala hapa ni kutishia. THINK BIG MAN.....!
  11. M

    NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

    Hivi hata mtoto wa primary akiulizwa ni kipi kati ya tindikali au bastola ya Mh Rage kinachoweza kutishia raia mnadhani jibu ni nini?
  12. M

    Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

    Well done.......! appreciated. nakushukuru sana kamanda Crashwise kwa jinsi unavyotuweka updated. Kwangu mimi hii ndo msg ya kuijibu baada ya kufuatilia mtirirko wa taarifa,zingine zote zipo nje ya "fact in issue". jioni njema na tunakutegemea tena kesho mechi ikianza.
  13. M

    Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

    Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi...
Back
Top Bottom