Katibu mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Mwanga anashikiliwa na polisi

Kamanda kaachiwa na kaambiwa arudi saa nane mchane, wanasema mkutano wa jana ulikuwa unahamasisha wananchi kuandamana kupinga amri halali ya mahakama kulipa dowans....

Haki ya mungu ccm wamechanganyikiwa kwa mkutano wa jana wa chadema.
Hiyo kwangu nadhani ndiyo sababu, wanahisi maandalizi ya maandamano ndiyo yameanza. Mjibuni OCD kuwa kibali cha mkutano kilikuwa kinahusu nini mpaka yeye apaniki?
 
Acheni uzushi jamani kuweni great thinkers.Huyu katibu Mwenezi wa CDM ni Mlinzi shule ya Msafiri Academia Kisangara. hakuna mtu aliekamatwa hata mmoja mimi ni CDM tena wa kadi sio mshabiki lakini promo nyingine bana! haya tutafika kwa promo hizi za kizushi. Jamaa (katibu Mwenyei jana amekesha kazini kwake na ana fanya kazi ya overtime kwa mwajiri wake ameleta wanawafunzi wa shuleni kwao kanisani hapa Mwanga Mjini leo kuna sikuku ya watoto wa Jimbo K.K.K.T dayosisi ya Pare). Kileo hizi habari unazitoa wapi|
 
M.kwere na wanae wamechachawa, tena chadema wanafanya makusudi ili muendelee kuchachawa na kuwafuatilia wao halafu at the end mnajikuta hamjawafanyia wananchi chochote, hukumu ya hapo ni T 2015 CDM
 
Acheni uzushi jamani kuweni great thinkers.Huyu katibu Mwenezi wa CDM ni Mlinzi shule ya Msafiri Academia Kisangara. hakuna mtu aliekamatwa hata mmoja mimi ni CDM tena wa kadi sio mshabiki lakini promo nyingine bana! haya tutafika kwa promo hizi za kizushi. Jamaa (katibu Mwenyei jana amekesha kazini kwake na ana fanya kazi ya overtime kwa mwajiri wake ameleta wanawafunzi wa shuleni kwao kanisani hapa Mwanga Mjini leo kuna sikuku ya watoto wa Jimbo K.K.K.T dayosisi ya Pare). Kileo hizi habari unazitoa wapi|

Achakuongea pumba, nani kakuambia alikamatwa jana? Ameitwa leo Asubuhi na kuhojiwa na ameachiwa ameambiwa arudi saa nane. CDM hatuna vilaza kama wewe
 
Achakuongea pumba, nani kakuambia alikamatwa jana? Ameitwa leo Asubuhi na kuhojiwa na ameachiwa ameambiwa arudi saa nane. CDM hatuna vilaza kama wewe
All in all,tunategemea kusikia kitakachojili toka kwako atakaporudi kuripoti hapo police hio saa nane, japo bado kuna mambo mengi tu ya kujiuliza maana kama polisi wanamhoji kujua kuhusu kilichoongelewa kwanye mkutano wa hadhara wakati mpaka mkutano ukafanyika inamaana walitoa kibali na hivyo kuweka ulinzi. Inamaana Police General Duties pamoja na CID walikuwepo hapo kulinda and in the course of doing that walisikia yote yaliyosemwa tena hadharani. Kuna haja gani tena kumwita ( if not arrest ) na kumhoji kuhusu yaliyosemwa? Au kuna mengine underground......?
 
Mida hii ya asubuhi katibu mwenezi wa chadema anashikiliwa na polisi wa wilaya ya mwanga. Hoja zao eti atoe maelezo kuhusu mkutano wa jana nini kilizungumzwa.

Kweli hii serikali imeishiwa na kuchanganyikiwa sasa.

Wala hata hukuwepo wakati mahojiano yanafanyika halafu unakaa hapo na kuanza upotoshaji usio na sababu. Nyie ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
to be honest, i think posili wanawaangusha ccm indrectly kwa kujenga chuki kati ya raia na serikali ya ccm

inawezekana polisi wameamua kufanya hivi maksudi
 
Back
Top Bottom