Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?
Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.
Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.
Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"
Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?
Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?
Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.