Ester Bulaya naye amtosa Zitto!

Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) nae amekanusha kumpigia debe Zitto kwenye Urais.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, ameandika;

"Nasikitika sana kuambiwa kuwa nimempigia debe urais mh Zitto Kabwe. Huu ni uwongo wa kutubwa tulienda Kigoma kuwaunga mkono wasanii wa Kigoma walioamuwa kwenda kuchangisha fedha za ujenzi wa kituo cha vijana. Nilienda kama mbunge wa vijana kwa ajili ya kuunga mkono vijana wenzangu. Huu ni uzushi mkubwa. Natambua kila chama kina utaratibu wa kupata mgombea urahisi"
Nawasilisha

No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika, atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!
 
Mzee, taratibu !
 
Hivi huyu mwandishi alilipwa sh ngapi kutengeneza hii habari?
 
Mwambie naye aache USHAMBENGA kwa nini alifuatana na Halima Mdee? Yeye Zitto kamwita Halima yeye kaenda kwa niaba ya nani asifukunyue mengine ngoja tuusubiri mkanda

kwani wewe humjui zitto? utausubiri huo mkanda mpaka uchoke.
 
No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika,
atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!

Kukosea ni kawaida, we mbona hapo umekosea?
 
No!
Yawezekana hatujui lugha za kigeni! sawa!Hata lugha zetu zitushinde!Yawezekana jawabu ni typing errors!Iweje sasa yamejitokeza makosa mengi hivi tena katika sentensi chache alizoandika!!Ni wazi Ndugu Mbunge angeamua kuandika kurasa sita angeishia kutufedhehesha sana sisi wadadisi wa mambo!!
Inaudhi kuona makosa ya wazi kama haya yanafanywa na Ndugu Mbunge wa Viti Maalumu ,anayewakilisha Vijana wa CCM!!!
Kama mtu anaonekana hajali kuhariri anayoandika, atawezaje kuchuja anayozungumza na wananchi unaowaongoza?
Kielelezo cha kukosa umakini!
Unashanga!! tena huyo kajitahidi kweli, siku hizi Kiswahili kimekuwa kigumu kuliko kifaransa! nafikiri tatizo la ufasaha katika kuandika LUGHA YA KISWAHILI ni kubwa kuliko tunavyo dhani.kama hata viongozi tatizo hili wanalo basi kuna haja ya kulifanyia utafiti.Binafsi huwa naandika makosa ya kisarufu humu JF ni mengi kweli.
 
.

Zitto bwana , sasa hii ndiyo inathibitisha kabsaaaaa!! kuwa mbali yauraisi hafai hata kuwa mbunge!

Kama ana akili hata kidogo , ili kulinda heshima yake ndogo iliyopotea...na yeye akanushe habari hii!!!

.
 
Hizi habari zimeshachosha
Hivi hakuna habari zingine Tanzania?
Ester ,Halima ,sijui Nassari oops
 
wabunge wote nassari,esther na deo pamoja na zito wamekanusha habari hii!hapa ina maanisha gazeti limeandika uongo,kwa mtazamo wangu gazeti linatumiwa kuchafua watu!je ni kwa manufaa ya nani?
 
Anajikosha tu baada ya kuona atakosa kupewa ridhaa ya kugombea Ubunge Bunda mwaka 2015!
 
Back
Top Bottom