Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.
SOURCE: TBC1 HABARI

akili za nepi ziko kwenye makalio yake..kama safari hii watu hawakujitokeza kwa sababu waliogopa kumwangiwa tindikali je nini ilikuwa sababu ya watanzania kutojitokeza kupiga kura oktoba 2011..
Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.
SOURCE: TBC1 HABARI
Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.
SOURCE: TBC1 HABARI
Hivi hata mtoto wa primary akiulizwa ni kipi kati ya tindikali au bastola ya Mh Rage kinachoweza kutishia raia mnadhani jibu ni nini?Katibu wa Itikatdi na Uenezi wa CCM.
Nape, kaongea kwenye taarifa ya habari TBC1, anasema sababu iliofanya watu wachache kujitokeza kupiga kura kwenye jimbo la Igunga, watu walihofiwa kumwagiwa Tindikali.
SOURCE: TBC1 HABARI
Hivi hata mtoto wa primary akiulizwa ni kipi kati ya tindikali au bastola ya Mh Rage kinachoweza kutishia raia mnadhani jibu ni nini?
nape jirekebishe, unakera sana...unapoteza ile sifa ya kuwa leadership material..sio kila kitu cha kihuni ukijibu kihuni...vingine mezea vingine jibu kwa busara. Halafu ukiambiwa hoja jibu kwa hoja. Sio kila kitu unajibu kwa kuanza na statement ya "mbona chadema hivi, mbona chadema vile...." elewa kuwa sio kila wanachofanya chadema ni kizuri na sio kila wanachofanya chadema ni kibaya...jiheshimu ndugu..cheo kikubwa hicho!!!!pls pls moderator naomba uwaondeolee ban baadhi ya wadau hapa kwa muda walau kwa thread hii tu watukane watakavyo tuone kama wana matusi mapya kabisa, pls nakuomba ukubali ombi langu....
ni mpaka pale itakapothibitika kuwa imeishiwa risasi BUT kama tunachukulia for granted kuwa haina risasi,kwa nini kupanda nayo jukwaani basi. kumbe ni kutishia basi. So suala hapa ni kutishia. THINK BIG MAN.....!Jibu ni tindikali, unajua bastola inaweza kuwa imeishiwa risasi
Naloli,Hivi CCM kweli wamekosa viongozi?
Mbona huyu bwana mdogo ni mzito sana wa kufanya tathmini ya mambo? Hivi walipo kuwa wananunua shahada walitegemea nini? kwamba idadi ya wapiga kura ibaki ileile?
Pili hivi walipo watuma NEC waongeze wapiga kura hewa ktk daftari la kudumu la wapiga kura walitegemea nini? maana hadi leo NEC haina kumbukumbu sahihi za waliojiandikisha kupiga kura mara watu mil 21 mara mil 19 kama NEC hawajui idadi kamili tutaamini vipi kama wapiga kura igunga walipaswa kuwa 170,000? NAPE atwambie kutoka moyoni mwake hivi uchaguzi mkuu wa oct 2010 walipojitokeza wapiga kura 49% ya waliojiandikisha (ina maana 51% hawakupiga kura) Napo wapiga kura walikuwa wanaogopa kumwagiwa tindikali ?
KWELI CCM KAZI IPO, MMEMTOA TAMBWE HIZA MMEINGIZA NAPE kweli kitengo cha propaganda bado kinatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na wakoloni dhidi TANU (NAPE amka dunia imebadilika badilini mbinu, kumekucha ndugu)
nape jirekebishe, unakera sana...unapoteza ile sifa ya kuwa leadership material..sio kila kitu cha kihuni ukijibu kihuni...vingine mezea vingine jibu kwa busara. Halafu ukiambiwa hoja jibu kwa hoja. Sio kila kitu unajibu kwa kuanza na statement ya "mbona chadema hivi, mbona chadema vile...." elewa kuwa sio kila wanachofanya chadema ni kizuri na sio kila wanachofanya chadema ni kibaya...jiheshimu ndugu..cheo kikubwa hicho!!!!
Naloli,
SIKU MKITUSUMBUA KWENYE UCHAGUZI TUTABADILI MBINU, LAKINI KWA STYLE HII YA KUTAMBAA WAKATI WENZENU TWAKIMBIA HII INAWATOSHA, GOLI LINALOUMA NI LILE UNALOFUNGWA MOJA BILA AU MBILI MOJA NA SIO KUMI KWA TATU
Nape hujajibu hii statement! umeona tatizo lako eee?NAPE atwambie kutoka moyoni mwake hivi uchaguzi mkuu wa oct 2010 walipojitokeza wapiga kura 49% ya waliojiandikisha (ina maana 51% hawakupiga kura) Napo wapiga kura walikuwa wanaogopa kumwagiwa tindikali ?