Recent content by master eagle

  1. M

    Jamani maloan officer mnalaana

    Mkuu hapo ukiona manyoya ujue mnyama kaliwa hakuna kazi hapo hiuyo kasharubiuniwa na tusent twa rushwa wanatopata hao ma LO cha msingi mchunguze ama la nicheki pm nikupe software ya kunasa mawasiliano yake ili ujue tu moja mkuu.otherwise pole sana
  2. M

    Nilichokikuta baada ya kupekua chumbani kwa dada wa kazi

    yani mkuu Deo nimefatilia sana post zako long tym very funy yani vp lakin usharudi songea maana ulipogusia wangoni tu nikakumbuka mambo yao
  3. M

    Mkasa wa nyoka 2000 kusafirishwa kwenye ndege ya abiria

    Za kuambiwa changanya na zako ina maana hao abiria wao hawakuwa wanavuta oxygen waliwezaje kusustain
  4. M

    Nimepewa kibolibo, nikafanya kweli. Eti mtu anakuja kutoa lawama MMU; Ooh tunamsumbua mke wake, heh!

    Daaa mbona mkuu ulikuwa unamtishia maisha kama umekula si chuna havijawekewa mihuri eti mwingine usile hata wako pia kuna jamaa wanamla tu
  5. M

    Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

    arooooo we kijana acha mazarau yako mbona nyinyi mumekimbiza litimu lenu eti mnaenda uturuki yan mumekubali mupate magarama kisa kumkimbia mnyama araaaaaa
  6. M

    Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

    Ngasaaaaaaaaaaa daaaaaaa no no no mcheza ngonoooooooooooo
  7. M

    Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

    Tupeni raha simba weka rekod ya kutofungwa ktk kombe hili okwiiiiiiiiiiiiiiii chezea simba waulize yanga walipata kichapo paka ngasa akaenda cheza beki
  8. M

    Mgambo wavamia gari iliyobeba watalii wawanyang'anya camera na kuendesha gari lenye watalii Arusha

    Kazi kweli yani kwanza wametupa aibu ya mwaka hawa wagambo kwa watalii maana mara zote watalii ni mabalozi wakubwa sana kwa wenzao wakirudi.kulikuwa hakuna haja ya kutumia nguvu kwa jambo jepesi linaloongeleka kama hilo.watalii wana nafasi ya kuwashtaki kwa yafuatayo.1.kudhalilishwa.2.kupotezewa...
  9. M

    Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

    Haya mambo ya digital yanatuathiri wengi hapa dar bora kwetu zanzibar
  10. M

    Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

    Habari wa ndugu naomba kujuzwa zaidi ya azam tv chanel gani nyingine huonesha haya mashindano ukizingatia leo ndo nusu fainali zinaanza
  11. M

    Kenya, Uganda na Rwanda waweka makubaliano ya ulinzi

    Kenyata hajui alifanyalo kwa mustakabari wa taifa lake yy hasa anaangalia upepo wa kunufaika kiuchumi kasahau kwamba anaweza kuijenga kenya kwa kupitia rwanda na uganda lakini anaweza ibomoa kenya kwa kasi ambayo hataiamini hao jamaa wakishaanza onesha makucha yao ajifunze kwa rwanda alivyokuwa...
  12. M

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Duuu kwaiyo kimsingi hapa mbowe anakubali kwamba alipewa hela tena na wale ambao cdm wanawaitwa mafisadi kama akina rostam.hapa kuna mengi yamejificha na kuna mchezo mchafu sana.bora niwe na chama changu ccm chama kilicho nielea nimesoma ktk utawala wake na kupata kazi hawa wengine ni wanafiki...
  13. M

    Line ya wakala mpesa inauzwa

    Isije nanunua hafu imepigwa then muhusika ana claim hafu dealer ana swap yashanikuta huku jf sina hamu kabisa
  14. M

    Tanzania na Burundi watengwa vitambulisho vya pamoja afrika mashariki

    aaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwikwikwikwikwi kwaiyo wanajikomoa
  15. M

    Tanzania na Burundi watengwa vitambulisho vya pamoja afrika mashariki

    kweli mkuu hawa mwisho wa siku wapende wasipende watakuja tu maana kimsing hawatajitosheleza kiuchumi ngoja watakapokuja kununua malighafi kweli bei juu cha msingi tukazanie mapinduzi ya kilimo tu na viwanda vya ndan
Back
Top Bottom