Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

Nusu fainali ya kombe la mapinduzi SIMBA vs URA

simba wanaongoza 2-0 thanks to owino na kiemba mpira haujaisha bado
 
Kuna mtu humu alikuwa anaulizia sana matokeo ya mechi, baada ya kuwekewa matokeo simuoni kabisa!
 
Eti jamani,hivi timu ikisafiri kwenda nchi za inje madawa ya kulevya bado yanabebwa kwenye mipira kama zamani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Naamini bado inawezekana, kwani ile mipira huwa haikaguliwi na mamlaka husika. Naomba tuwaulize Yanga ni kwanini wakafanye mazoezi kwa wiki 2 kwenye baridi (average temperature) ni 4 centigrade halafu watakuja kucheza Tanzania kwenye temperature kwenye 25 degree centigrade.
 
Simba waifunge URA kama ilivyokuwa kwa Yanga
 
Kuna mtu humu alikuwa anaulizia sana matokeo ya mechi, baada ya kuwekewa matokeo simuoni kabisa!

kaenda uwani mayeko maleta
mnyama noma watu wanasepa kimyakmya
 
Last edited by a moderator:
Naamini bado inawezekana, kwani ile mipira huwa haikaguliwi na mamlaka husika. Naomba tuwaulize Yanga ni kwanini wakafanye mazoezi kwa wiki 2 kwenye baridi (average temperature) ni 4 centigrade halafu watakuja kucheza Tanzania kwenye temperature kwenye 25 degree centigrade.

Hao watalii tu utafanyaje mazoez kwenye baridi ila Game unaenda kupiga kwenye Joto. Si wangeenda Katum Sudan joto 40-45C
 
Eti jamani,hivi timu ikisafiri kwenda nchi za inje madawa ya kulevya bado yanabebwa kwenye mipira kama zamani?
Wangeenda kufanya mazoezi China waone kama watarudi!
 
yebo yebo lazima ilibidi hao wadosi walazimishe safari maana vinginevyo mwakyembe na vijana wake wakali siku hizi...Mzigo mkubwa safari hii tena ndgege inayoondoka alfajiri 🙂)
Mkirudi tunawachapa tena halafu msingizie soseji na kitimoto cha uturuki !
 
Back
Top Bottom