Red card ni njia ya kuwasaidia Simba, washindwe wenyewe tu. Hata hivyo wana rekodi ya kupata matokeo mabaya na timu zenye wachezaji pungufu.
Eti jamani,hivi timu ikisafiri kwenda nchi za inje madawa ya kulevya bado yanabebwa kwenye mipira kama zamani?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Simba wanafnga goli la pili dakika ya 52 mfungaji Amri Kiemba akitua vema pasi ya Haruna Chanongo sasa ni dk ya 54

Toa mfano wa timu iliyoenda nje.
Ile ya yebo yebo..
Ngoja Kibaden na Julio wakusikie!Kwanini Kiemba akifundishwa na Wazungu anakuwa hatari sana