majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
watawasaidia wanyarwanda.
na wote litakuwa anguko kubwa kwao
watawasaidia wanyarwanda.
posts zako zinaonesha kuwa wewe ni mnyarwanda tena mtutsi
Nadhani kagame anafaa kuwa prezida wa tz... Angekuwa raia lakini
Uhuru anawatumia kwa maslahi ya wakikuyu
hela mwanaharamu yupo tayari hata kuua ndugu zake wote ili kagame aendelee kutawala rwanda kimabavu
ni kweli tatizo ni tanzania. wanasuasua sana.
katika watu ambao watakiona cha mtema kuni mbele ya muumba ni paul kagame
nadhani jina lako halisi ni mauharo na sio mahoro...!
rwanda na burundi zote zina wahutu wengi kuliko wahamiaji wa kitusi kwa hali ya kawaida ni mara chache sana mhamiaji anaweza kumzidi mwenyeji kitakwimu
vipi goma? Rwanda kupitia m 23 ambayo sasa ni zaidi ya historia walikuwa wanajigamba wanapendwa na wakongo vipi sasa? Mbinu za kijeshi zilitumika kuingamiza millitary wing ya kagame goma
UKINIKABIDHI BANDARI TU.. ACHANA NA MALI ZOTE ULIZONAZO, WANANCHI WANGU WATAPATA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII BURE; BY KAGAME:A S wink:
tanzania...still loading...
Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums
ndo maana mungu hajamleta kagame tanzaniau,