Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Toa mfano wa timu iliyoenda nje.
Umaskini tu unawasumbua, hivi mkishinda bonanza mtapata ngapi? Mpigieni malkia wa nyuki kuwa Yanga wameenda tena ili naye awapeleke tena Oman.
Toa mfano wa timu iliyoenda nje.
SIMBA HAISHIKIKI: Dakika 90 zakamilika punde Amani Stadium. Mabao ya Owino, Kiemba yaipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya URA. Kuikabili KCC fainali Mapinduzi Cup.
Matokeo ya uturuki tafadhari
Yule kiherehere kapotelea wapi. Nilishamuonya Simba itampa pressure. Amekazania kutaka matokeo mara kasepa.
Kuna anayeshangaa katika matokeo haya anayoendelea kuyavuna Mtani? Hii c ndo team mtawala wa makombe ya Mbuzi na mabonanza...Mapinduzi Cup,ABC Cup,Kinesi Cup nk...kuna nn tena hapo?