Line ya wakala mpesa inauzwa

Jimmy2012

Member
May 18, 2012
28
3
Nauza line ya wakala wa MPESA, zipo sim card zote mbili (Management na Till) zinatumika hadi sasa. Bei ni laki na nusu (150,000/=). Mwenye kuhitaji anitafute, nitumie pm.
 
Nipo Dar hapa hapa mjini. Napatikana maeneo ya jirani na Water Front au Ukonga Banana.
 
Isije nanunua hafu imepigwa then muhusika ana claim hafu dealer ana swap yashanikuta huku jf sina hamu kabisa
 
NDUGU YANGU MIMI NAITW GARLUS MILANZI NAHITAJI NIJARIBU KAZI NINA MAXMALIPO. Pesa nitapata mwisho wa mwezi huu naomba namba yako ya cm. Yangu 0715500248.
 
Isije nanunua hafu imepigwa then muhusika ana claim hafu dealer ana swap yashanikuta huku jf sina hamu kabisa

@ master eagle, line hii sio ya wizi, ni halali kabisa. Mimi niliipata ikiwa mpya kabisa na nimeitumia kwa miezi sita sasa, nimeamua kuiuza kwakuwa nimepata line nyingine yenye jina langu. Ondoa shaka juu ya hili kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom