Recent content by mashish

  1. mashish

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mechi ya leo,Arteta kazingua tangu kipindi Cha kwanza Odegard hakuwa kwenye form,Madueka na Martinel kazi wametukosesha ushindi kipindi Cha kwanza
  2. mashish

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Duuh mo 9 hatuna kabisa,mechi imekuwa ngum sana,mipira ya mwisho hakuna wa kumalizia
  3. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Upo sahibhi kaka,wachezaji wa Madrid team work imepungua sana,lkn pia hawa no 8 anayeweza ku control mchezo,beki zinapitika kirahisi sana
  4. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ina maana hatusajiri Tena,au tuendelee kusubiri vipigo kutoka catalunya?
  5. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tumsajili dogo Zubimendi
  6. mashish

    INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Tv smart gani naweza PATA Kwa bei ya 600k inchi 55 au 60 ?
  7. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo vijana wamepambana sana,tutarudi msimu ujao tukiwa imara zaidi,hala madrid
  8. mashish

    Utabiri wa bingwa CAFCL, CAF Confederation na NBCPL 2025

    Nimeitunz Kwa wivu mkubwa sana
  9. mashish

    INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Kampuni ya Hisense, Samsung,LG,Global star tv, na Aborder,ni Bora au ndio zipo sokoni Kwa sasa?
  10. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Timu itarudi imara,tunapitia kipindi kigumu sana,
  11. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo team ili balance sana,liverkuku wajiandae
  12. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo kajitahidi,kipindi cha kwanza, japo Bado kwenye ufungaji umakini unahitajika
  13. mashish

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Match ya leo mabeki , viungo,kipa na washambuliaji wote wamecheza ovyo,lkn pia kipindi cha kwanza walau nilimuona camavinga baada ya kutoka ikawa balaa
Back
Top Bottom