Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,243
- 40,253
CAFCL-Ah alhy
CAFCC- Berkane
NBC- Yanga
CRDB- Yanga
UEFA- Inter milan
CAFCC- Berkane
NBC- Yanga
CRDB- Yanga
UEFA- Inter milan
atakayetoboa barcelona vs inter huyo ni bingwaCAFCL-Ah alhy
CAFCC- Berkane
NBC- Yanga
CRDB- Yanga
UEFA- Inter milan
huyo PSG anapigwa vizuri kabisa, tena anaanzia Emirate atapigwa kama madridHayo ya kabumbu hayanihusu ila hapo Uefa ndipo pana nihusu. Bingwa ni Barcelona baada ya kumpiga PSG 1 bila majibu.
Akipita inter uhakika, ila barca ngoma bado ngumu. Arsenal na psg wote wanaweza kumpiga barca fainalatakayetoboa barcelona vs inter huyo ni bingwa
Itachukuaarsenal hata fainali hanusi
acha tusubiri football ifanye yakeItachukua
Nimeitunz Kwa wivu mkubwa sanaHello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
Barcelona atakutana na Arsenal na yeyote akishinda wakikutana nitafurahi sana.Hayo ya kabumbu hayanihusu ila hapo Uefa ndipo pana nihusu. Bingwa ni Barcelona baada ya kumpiga PSG 1 bila majibu.
Inaonekana zote timu zako, ila Arsenal akikutana na Barcelona TU jua amepoteza Hilo kombeBarcelona atakutana na Arsenal na yeyote akishinda wakikutana nitafurahi sana.
Zote ni zangu mkuu.Inaonekana zote timu zako, ila Arsenal akikutana na Barcelona TU jua amepoteza Hilo kombe
SawaHello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
Mmh!huyo PSG anapigwa vizuri kabisa, tena anaanzia Emirate atapigwa kama madrid
HahahaPicha linaanza mkeka umeanza kuchanika mapema sana.
Eti Al Ahly, Al Ahly wa nyoko
Mmh mbona uwongo na Timu zishaingia fainaliHello!
Bila kupoteza muda.
Bingwa wa CAF CHAMPION LEAGUE atakua Pyramids FC baada ya kumshinda Al Ahly kwenye fainali.
Bingwa wa CAF Confederation cup atakuwa RS BERKANE baada ya kumpiga Gori zaidi ya 2 SIMBA SC kwenye uwanja wake wa nyumbani kule Morocco. Kwa maana hiyo Simba SC atacheza fainali ya CAF Confederation mwaka huu 2025.
Bingwa wa ligi kuu NBC TANZANIA bara atakua club ya Yanga huku mshindi wa pili akibaki kuwa Simba SC.
Bingwa wa CRDB Confederation cup mwaka huu atakua Simba SC baada ya kumfunga Yanga kwenye fainali.
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya NBC atakua Prince Dube kwa zaidi ya magoli 14.
Bingwa wa UEFA champions league atakua Arsenal baada ya kumfunga Inter Milan watakae ingia nae fainali.
Tunza uzi huu.
Umechanika na utachanika sanaPicha linaanza mkeka umeanza kuchanika mapema sana.
Eti Al Ahly, Al Ahly wa nyoko
Hatuoni ukifanikiwa katika maeneo mengi.Hello!