Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,827
- 11,648
Madrid sahivi naenjoy kumtazama Bellingham
Anapoteza mpira badala ya kufanya maamuzi ya haraka kukaba anajishika kichwa, Goli tulilofungwa limetokea kwenye pasi aliyoipoteza?Madrid sahivi naenjoy kumtazama Bellingham
Mistake zipo kaka, mcheck Vini anavyolalamika akishikwa tuAnapoteza mpira badala ya kufanya maamuzi ya haraka kukaba anajishika kichwa, Goli tulilofungwa limetokea kwenye pasi aliyoipoteza?
Halafu kwani lazima amalize 90minsMadrid sahivi naenjoy kumtazama Bellingham
ngapi uko?Halafu kwani lazima amalize 90mins
Jamaa wanaweza kucheza lakini inaonekana huyu Babu huwa anawadekeza, ngoja apatikane kocha kichaa, watacheza tu wajinga hawaLeo vijana wamepambana sana,tutarudi msimu ujao tukiwa imara zaidi,hala madrid
😂😂😂 Sawa na Mwakani tutawakanda ngoja tuKenge nyie safi sana mmepigwa nawachukia mno. Naichukia Real Madrid akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie mnataka ushindi mnamleta Kendrick 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona weoKasongo tumekupasua, ila naomba radhi kwa kumtusi Tchouameni jamaa kadisplay umadridista ule wa zama za akina ramos
Yule leo katumikia jezi nyeupe, japo naye hayupo kwenye form tuliyoitegemeaKasongo tumekupasua, ila naomba radhi kwa kumtusi Tchouameni jamaa kadisplay umadridista ule wa zama za akina ramos
Huyo ndo hamna alichofanyaMistake zipo kaka, mcheck Vini anavyolalamika akishikwa tu
Mimi ni fan wa real madrid, ila bado naamini hata hiyo game ya tarehe 11 tunapigwa tena26 April Copa del rey final
Barcelona vs Real Madrid
11 May Laliga
Barcelona vs Real Madrid
Hizi game zote madrid tunapigwa
Msimu huu nyinyi Madrid tunawapiga kila tutakapocheza.Mimi ni fan wa real madrid, ila bado naamini hata hiyo game ya tarehe 11 tunapigwa tena