mashish
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 833
- 549
Upo sahibhi kaka,wachezaji wa Madrid team work imepungua sana,lkn pia hawa no 8 anayeweza ku control mchezo,beki zinapitika kirahisi sanaWachezaji walikuwa wanajituma
Upo sahibhi kaka,wachezaji wa Madrid team work imepungua sana,lkn pia hawa no 8 anayeweza ku control mchezo,beki zinapitika kirahisi sanaWachezaji walikuwa wanajituma
Wachezaji walikuwa wanajituma
Management inabidi ishirikiane na benchi la ufundi kuweka sawa hili, ila rotation yake kwa wachezaji naona ni ndogo pia.Upo sahibhi kaka,wachezaji wa Madrid team work imepungua sana,lkn pia hawa no 8 anayeweza ku control mchezo,beki zinapitika kirahisi sana
Pale ilikuwa rahisi kwake maana wote walikuwa wanamsikiliza, na hapakuwepo mashindano baina ya wachezaji kuwa Mimi ni star kuliko wewe, kiufupi walikuwa wamoja sana, hii ilimsaidia Alonso pia ku-implement aina ya uchezaji anaoutaka.Tangu jana najiuliza aliwezaje kuchukua ubingwa na Bayaern04 bila kufungwa, nakosa majibu aisee.
Kigenge cha matapeli kimesambaratishwa.