Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa Liva nikuwapelekea moto tu, hii mipango mipango ya back pass inawaweka mchezoni.
 
Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.

Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza

Sema liva tumeingia na approach nyepesi(labda sababu ya ubora wenu) ila nyie mkisakwa vizuri mnameza ndoano vizuri kabisa
Liverpool kaingia vizuri, akibadirika atafungwa. Anashambulia inapobidi then anarudi kujilinda, asipishane na Arsenal atamiminiwa.Arsenal ukikaa nyuma ni vigumu sana kukufunga.
 
Kwenye maisha kuna kitu huitwa bahati nzuri, mimi hu define when opportunity meets preparation.

Kwa misimu miwili nyuma arsenal tulikuwa tuna anza vizuri na kumaliza vibaya, wapinzani wetu waki anza vibaya na kumaliza vyema.

Injuries na sisi ilikuwa kama upwiru kwa msela, key player's walikuwa wana umia ule muda ambao wana hitajika Sana.

sasa hivi mambo yame change squad yetu ni Pana, huku wapinzani wetu wa top three hasa city kasha poteza beki wake wawili hawa ni nguzo yake muhimu mno.

Since January 2026 top 6 teams zicheze ni arsena pekee kasha shinda game zake, huku wengine waki draw zote au kufungwa.

Leo na kuendelea tuna ihitaji hiyo bahati kwa namna yoyote ile, viva arsenal viva the gunners 🔥.View attachment 3527138
Narudia bahati ni muhimu leo usiku
 
Sababu pekee hakuna anayeonekana kapanik ni kwakua wote imani ni kubwa kwamba wapinzani watadrop points nonstop.

Ila game tuliyocheza ni ya hovyo. Ninaamini Arsenal isipochukua ubingwa uwezekano wa Arteta kuondoka ni mkubwa, naelewa kabisa Arteta ana nafasi ya kupata timu kubwa kuliko Arsenal kupata kocha mzuri kwa wakati lakini hii siyo ndoa ya kikristo.

Slot anazunguka interview kwa interview akilalamika watu wanamchezea long balls na set pieces. Szoboszlai anasema Arsenal siyo mabingwa which is true, sasa kwanini tusicheze kama vile siyo mabingwa? The hunger and focus ya timu ndogo kama Forest, long range shooting ya timu ndogo kama Fulham.

Long balls za Brentford.

I mean the blueprint was there yet we went with same approach.

Bullshit
 
Back
Top Bottom