Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,793
- 9,176
Siku hizi mmetepeta nyinyi sio wa kudhalilishwa vile.
Tebas ni shabiki wa Real Madrid kindakindaki,sijui wew mtu wa Misenyi hii hauijui.Huyu jamaa chuki zake kwa RM anazionyesha waziwazi halafu ndo raisi wa Laliga.
View attachment 3410715
Mkuu we unaona nimezungumzia ushabiki hapo?Tebas ni shabiki wa Real Madrid kindakindaki,sijui wew mtu wa Misenyi hii hauijui.
ivi unajiskiaje me alafu umeweka wadhifu wa ke ,nauliza tu mdau🙌Visca El Club Du Barca,yaan tutawapiga sana mbuzi weupe nyie🤣🤣 kushoto Rashford,kati Lewa,mababu ya kushoto Lamine,number mtoto Rapha,uwiii chapa mkono tena.
Aya huyo ni wife wangu ,unataka nin tena?Madrid bila viungo
ivi unajiskiaje me alafu umeweka wadhifu wa ke ,nauliza tu mdau🙌
Halla Madrid tunarud kupambana sasa
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba usajili huenda ukawa umekamilika.Usajili bado siuelewi, nasikia tu tetesi
kupambania nini?!!Halla Madrid tunarud kupambana sasa
Labda kwakoAzam Tv wajinga sana mechi zinascrash kama CD bovu
Nmeona na wengine wanalalamika pia mtandaoniLa
Labda kwako