Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,981
- 95,419
Mme badilisha uongo wenu tena 😂😁Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.
Mme badilisha uongo wenu tena 😂😁Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.
Ndaza nyie...wasindikizaji tu.... tupo phase ya ngapi?Heri uwe tapeli kuliko kuwa mwehu ka wewe,😂😁
Unaumia kutokea wapi mkuu🤠🤠Ndaza nyie...wasindikizaji tu.... tupo phase ya ngapi?
Sisi tuna ombi moja tu wakuu....mna mechi na City pale Anfield...fanyeni kama walivyofanya Manunu tu Leo.... Tutawashukuru sana🤠🤠Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.
sisi tuna shinda mechi zetu, we kazana na taarab zako😂😁Ndaza nyie...wasindikizaji tu.... tupo phase ya ngapi?
We una kichaa kweli. Tunamuuzia city mechiSisi tuna ombi moja tu wakuu....mna mechi na City pale Anfield...fanyeni kama walivyofanya Manunu tu Leo.... Tutawashukuru sana🤠🤠
Usishangae Arsenal mnafungwa, Man city alidroo na Chelsea advantage ikawa kwenu mkadroo na Liverpool hii inayotoa droo mpk na timu ya kushuka darajaLeo tunaweka gape la points 9 clear
Man city tutambomoa pale pale etihad
#ArsenalNDOO
Kwani Liverpool unamchukuliaje? Hiyo ni big match mzee. Wote wakubwaUsishangae Arsenal mnafungwa, Man city alidroo na Chelsea advantage ikawa kwenu mkadroo na Liverpool hii inayotoa droo mpk na timu ya kushuka daraja
Siku wakibeba, utaongeza tena namba kuwa hadi tufikishe mangapi.Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.
Jamaa huwa anaujinga sana. Ona sasa anavyoigharimu timu.Arteta alaumiwe kwa hii game,
Yani unatafuta ubingwa alafu unaanzisha kikosi cha akina madueke
Mechi na liverMsimu huu wote Arsenal ilikua haijascore kwenye mechi mbili, zote zilikua dhidi ya Liverpool.
Leo inaongezeka mechi ya tatu. Safari hii ni dhidi ya Nottingham Forest.
Arteta hizi game zakuongeza points hajui kuzicheza. Yaan huwa anadondosha points ilimradi anaemfata amfikie. Sasa kikosi gani kileJamaa huwa anaujinga sana. Ona sasa anavyoigharimu timu.
Huyu asipobeba kombe msimu huu aende zake tu.
Ajinfunze kucheza game za nguvu dhidi ya hizi mid table timu zinazocheza kufa na kupona.