Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Valverde leo anacheza kama beki wa kulia, kati kati pale Rudiger yupo na dogo Asencio., dogo anajitahidi sio mbaya, kipimo kitakuwa game dhidi ya Liverpool
 
Kuna nafasi kubwa Liverpool wanaiacha wakati wanaenda kushambulia, ni bahati mbaya tu hatujaweza kuitumia., unahitajika utulivu wa washambuliaji wetu
 
Back
Top Bottom