Recent content by mashini

  1. mashini

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumsamehe huyu.

    Usiwe mtu wa upanga kwa upanga. Muache tu dunia itamlipa kwani malipo ni hapa hapa dunia
  2. mashini

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA

    Hana jipya na ndo maana alibaki, goja aje kwa wapuuzi wenzake
  3. mashini

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinaongoza na mademu wakali

    Ndo mambo ya wanachuo haya. Big Results Now kamwe hatutaifikia
  4. mashini

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kuvunjika kwa ndoa

    Faida ya kuoana ni pamoja na kuunganisha familia za pande mbili za upande wa mwanaume na mwanamke; Hii ina maana kwamba mnaongeza wigo wa kusaidiana katika kazi na maisha kwa ujumla. aidha, ni aibu katika maisha kuingia katika talaka, bali ni hekima kujifunza namna ya kufanya ili uendelee...
  5. mashini

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazowafanya wanaume wengi wasipende kuoa mijini...

    [Siyo wote ]Binafsi huwa naona ni bora kijana kuoa hapa hapa mjini kama amepata wife material. Hawa wa mjini wamekutana na mengi na wanazijua changamoto za mijini na wamezizoea. Uzoefu unaonyesha, wale wa vijijini wakifika mjini na kukengeuka kitabia, hali zao huwa mbaya zaidi kuliko hata hao wa...
  6. mashini

    JamiiForums Tanzania Ninyi wasichana, kwa nini hii tabia lakini?

    Inamaana ulikua unawaona siku hiyo hiyo na kuwatangazia uchumba... wewe ni noma!!!!!!!!!!!!
  7. mashini

    JamiiForums Tanzania Kwanini hili suala tumelifanya kuwa gumu hivi? ulimbukeni utatuua

    SIKU HIZI SHAREHE ZA NDOA/HARUSI NI BIASHARA A.K.A Profit oriented..... no profit no ndoa kiuchumi zaidi mkuu
  8. mashini

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazowafanya wanaume wengi wasipende kuoa mijini...

    wanawake wa mjini wanajidai kujua HAKI ZA WANAWAKE A.K.A HAKI SAWA....... MTABAKI KUPIGWA MIMBA TU MSIPO JIREKEBISHA---------------Habari ndio hiyo
  9. mashini

    JamiiForums Tanzania Sekretariat ya ajira mnatisha

    Hao watu noma aiseeeeeeee............ wanakera sana
  10. mashini

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

    hapo napo tamu
  11. mashini

    JamiiForums Tanzania Kuolewa

  12. mashini

    JamiiForums Tanzania Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    walimu ni wasikivu na wenge wao si wapenda makuu lakini tukumbuke walimu wengi wanatoka kwenye familia za kipato cha kawaida sana au duni hivyo wanaweza kuishi maisha yoyote yale na popote pale. Tofauti na kada zingine ambazo wadada wengi kwanza huchagua kazi na sehemu za kuishi, utasikia...
  13. mashini

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Pressure itatuuwa. utapata je, faida bila kuwekeza?, wekeza kwanza ili upate faida.
  14. mashini

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    pressure itawauwa. wekeza ili upate faida, utapataje faida bila kuwekeza?
Back
Top Bottom