mashini
Member
- May 4, 2012
- 72
- 10
pressure itawauwa. wekeza ili upate faida, utapataje faida bila kuwekeza?Hayawi hayawi hatimae yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
pressure itawauwa. wekeza ili upate faida, utapataje faida bila kuwekeza?Hayawi hayawi hatimae yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
Pressure itatuuwa. utapata je, faida bila kuwekeza?, wekeza kwanza ili upate faida.Hayawi hayawi hatimae yamekua, kwa wale vijana wa kidato cha 4, leo kaen karbu na internet cafe 7bu mzigo unatema leo, ol da best guyz.
Hii thread inachosha sasa after all matokeon si yalitoka. Najua nyie akina dogo hamkuyapenda, na sasa you are waiting anxiously for the new results of which we know have been "doctored". It is a shame for you who are waiting for such results when you truly knows you messed up.
Jamani mnatoa hata na statistics yako vp haya matokeo mapya
Yah!! Kutona na kikao kilichokuwa kinaendelea leo kati ya wizara na wadau wa NECTA. NECTA wametujuza kwamba ufaulu umeshuka na kuwa chini ya asilimia 43, hii ni kinyume ya matarajio ya walio wengi especially wazazi, walezi na wale waliochora mazombi ambao wengi wao walitegemea muujiza.
Kupata matokeo, tembelea -> http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/olevel.htm