Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

Natafuta kazi ya usalama wa Taifa

mboperatransy

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
323
Reaction score
1,362
naipenda sana nchiyangu, napenda sana kufanya kazi kama usalama wa Taifa katika nchi hii,lakin sijawah ona maombi ya kazi ya hawa usalama wa taifa nifanyeje napenda sana:dance:
 
cheki kwenye ule waraka wa zitto kabwe akisaliti utaona namba zao ipo ya Jack Zoka, ipo ya yule mtaalam wa meno Ramadhani Ighondu na wengineo akina abdalah punja hukosi hata mmoja wa kukuunga kaka ila usitasahau bana mie nataka info tu za watu
 
Ngoja Ramadhani Ighondu aje kukuchunguza kwa kukutoa kucha chache aone kama una ujasiri wa kutosha...
 
mkuu anzia jkt siku hizi hawaokoti watu tu na kaz nyingi zac serikali ni lazima upitie jkt ndo utawza pata hyo usalama
 
Dadaangu Kipenzi Kil........ Umesikia? Muunganishie Bac!
 
Back
Top Bottom